game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,231
- 26,729
kwani @komora96 ni binti ama!?[emoji848]
tot huyu alikua mchizi flani ..!!?[emoji848][emoji848]
Toto fulani hivi toka Mombasa,
mashallah [emoji2956]
kwani @komora96 ni binti ama!?[emoji848]
tot huyu alikua mchizi flani ..!!?[emoji848][emoji848]
Huo mji kuna documentary yake namna ulivyojengwa unaweza accomodates watu laki5, apartments zake ziko vizuri sana, kuna watu wa maintenance wako standby muda wowote kukitokea itilafu yoyote kama maji kuvuja ama umeme kuzingua...Nova cidade de calambo project in Luanda city, Angola .. [emoji116]View attachment 2414523View attachment 2414524View attachment 2414527View attachment 2414528View attachment 2414529View attachment 2414530mradi umepigwa na mchina .. a lesson to EA.? [emoji1787] Kenyans kama naona vile ..
Kwa Miradi ya TBA au NHC kwanini isifanywe kwa ukubwa huu.? Kuliko vile vi miradi vya units sijui mara kawe sijui wapi [emoji1751] Dah.!
Ingekua kauli yangu, miradi ya nyumba ya TBA+NHC ningeshauri itekelezwe eneo moja kubwaa haswa kwa hapa DAR .but not vile vi apartments vitatu vinne
Hii nchi inakera sana, unakuta vimiradi vya apartment kila siku wanabadili pa kuweka, mara kawe mara kigamboni mara sijui wapi matokeo yake tuna vimiradi vingi vipo sehemu tofauti tofauti wkt vingewekwa sehemu moja tukawa na mji fulani hivi amazing wa kuonesha watu, kwa apartment zilizotapakaa hapa bongo kama zingewekwa sehemu moja basi tungekuwa na dude moja kuubwaa hapa EA sema ndiyo hvyo tena kila mtu anaamka na lake.Nova cidade de calambo project in Luanda city, Angola .. [emoji116]View attachment 2414523View attachment 2414524View attachment 2414527View attachment 2414528View attachment 2414529View attachment 2414530mradi umepigwa na mchina .. a lesson to EA.? [emoji1787] Kenyans kama naona vile ..
Kwa Miradi ya TBA au NHC kwanini isifanywe kwa ukubwa huu.? Kuliko vile vi miradi vya units sijui mara kawe sijui wapi [emoji1751] Dah.!
Ingekua kauli yangu, miradi ya nyumba ya TBA+NHC ningeshauri itekelezwe eneo moja kubwaa haswa kwa hapa DAR .but not vile vi apartments vitatu vinne
Ujenzi holela bado unaendelea hii nchi, ni kama hakuna serikali aiseee.Huo mji kuna documentary yake namna ulivyojengwa unaweza accomodates watu laki5, apartments zake ziko vizuri sana, kuna watu wa maintenance wako standby muda wowote kukitokea itilafu yoyote kama maji kuvuja ama umeme kuzingua...
Wamepiga mikeka ya maana ukanyagi vumbi sehemu yoyote...yani pako poa sana Mradi kama huu unafaa sana Dar na wapige kabisa stop ujenzi holela
Na wala haukuwa kwenye rooftop [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2414544
View attachment 2414546
Chunya mbeya — 900+ Km from Dar
Pictures were taken by me
Hakuna wakuwekea mkazo eneo hilo...miji inavyotanuka na kukua bila ramani za kueleweka ni mabomu tunapikaUjenzi holela bado unaendelea hii nchi, ni kama hakuna serikali aiseee.
Kweli kabisa, tungekua tumejenga hiyo miradi kwenye eneo moja kubwa tungekua na eneo moja matata mno .. miradi ya NHC+UTUMISHI HOUSING+TBA .. sahii tungea na concrete jungle ingine kubwaa tena ya maana kuliko KK .. but pitia hivyo vi miradi wanvyofanya NHC now then get to checkout the surroundings.. ni aibu kwakweliHii nchi inakera sana, unakuta vimiradi vya apartment kila siku wanabadili pa kuweka, mara kawe mara kigamboni mara sijui wapi matokeo yake tuna vimiradi vingi vipo sehemu tofauti tofauti wkt vingewekwa sehemu moja tukawa na mji fulani hivi amazing wa kuonesha watu, kwa apartment zilizotapakaa hapa bongo kama zingewekwa sehemu moja basi tungekuwa na dude moja kuubwaa hapa EA sema ndiyo hvyo tena kila mtu anaamka na lake.
Next year ill post a pic hereView attachment 2414539
Chunya Mbeya —900km from Dar
Utakuwa huko next year?Next year ill post a pic here
Na wala haukuwa kwenye rooftop [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Angalia Ukungu natural ulivyo mzuri, sio ule wa fungus kwenye lens ya Camera ya simu[emoji23][emoji23][emoji23]