Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpango wa TBA kuboresha Magomeni kota.. gorofa zinajengwa Migomigo, and mind you hii ni miradi tofauti na ile ya NHC.. CCM bhana wanajua hawa jamaa💥💥 .

Toa credit kwa SSH usijifiche kwenye koti la CCM 😜😜.

Mama kamwaga mapesq ya kuzidi na mradi huo ni mkubwa kuliko Magomeni kota ya kwanza.
 
Without Kenyans this stock exchange will collapse 😂😂

View attachment 2401423
Tanzania biashara za stock exchange,mall na supermarket hazifanyi vizuri kutokana na watu kutokuwa na Elimu na pia utamaduni..

Pia biashara hizo ukiacha Elimu ya uelewa zinafaa watu wenye kipato cha Kati wengi,sasa kwa Tanzania wale wenye vipato vya Kati hawana Elimu..

Tzn ni ya mwisho hapa EAC kwenye masuala ya Elimu so sishangai kwa biashara hizo ku feli..

Uganda na Kenya wanafanya vizuri sana kwenye biashara ya stock exchange.
 
Kuelekea green revolution 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221029-214659.png
    Screenshot_20221029-214659.png
    158.6 KB · Views: 8
LPG Project in Lindi, serikali kusaini HGA next December.

Can't wait to see this happening soon 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221029-154256.png
    Screenshot_20221029-154256.png
    202.3 KB · Views: 8
Sera ya kufungua Nchi ya Rais Samia ilivyofaidisha Nchi na wakulima wa mahindi..

Zaidi ya bil.300 kutoka bil.97 zimevunwa kutoka kwenye mahindi tuu 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221025-195241.png
    Screenshot_20221025-195241.png
    189.8 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221030-082658.png
    Screenshot_20221030-082658.png
    87 KB · Views: 9
Hizo ni behewa za kawaida za trains za kawaida tena daraja la tatu. Bado EMU zinatengenezwa na siku mkiziona mtakimbia hamtaonekana humu. Train na behewa zetu zinatengenezwa katika nchi tatu tofauti, Germany, China na South Korea. Tunataka kuwa-supraise na vitu vizito. tumewaonyesha tu hzo normal behewa za daraja la
Hizi train zote zitabebea abiria kutoka Moro hadi dar kipande cha 170km? 😂😂
 
Back
Top Bottom