Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbili.., Nairobi na Mombasa.., maoni yangu.., Tanzania ni moja tu, uswazi city Dar is slum..,
Huu ukweli ni mchungu kwako ila huna budi kuuzoea Mwanza na Mombasa they are of the same level .. sioni chochote Mombasa cha maana kando ya bandari chenye labda ni zaidi ya Mwanza ..
 
🤣🤣🤣 Ila we jamaa kiboko
Tanzanians are too lazy to feed us.
Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.

Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.

Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest), walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi, jamaa akawaelewa, ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.

Bahati mbaya mwendazake alifariki.

Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.

Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.

Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili, wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao na tumeingia mkenge.

Watanzania tuna safari sana kujitoa kwenye uchuuzi.

Hata vitungu pia ni wakenya ndio wanalima.
kuna wakenya walikuwa wanalima vitunguu maji pale Ruaha mbuyuni.
 
Huu ukweli ni mchungu kwako ila huna budi kuuzoea Mwanza na Mombasa they are of the same level .. sioni chochote Mombasa cha maana kando ya bandari chenye labda ni zaidi ya Mwanza ..
Show us Mwanza in this map.

tapatalk_1662618750822.jpeg
 
Huu ukweli ni mchungu kwako ila huna budi kuuzoea Mwanza na Mombasa they are of the same level .. sioni chochote Mombasa cha maana kando ya bandari chenye labda ni zaidi ya Mwanza ..
Tafuta daktari wa kutibu vichaa, wewe sio mzima,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂, in Tanzania Kuna city moja pekee ya ku level na Mombasa na ni Dar, yaani ni too obvious!., ata kipofu ataona🤣🤣🤣🤣😂😂, kojoa ulale tu.
 
unawashwa wewe ujala nini
Ukweli imekuacha na ugonjwa wa moyo, ni uchungu najua, ila vumilia, hambadilishi lolote.,, kojoa ulale na wewe pia, idiot🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
 
Tafuta daktari wa kutibu vichaa, wewe sio mzima,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂, in Tanzania Kuna city moja pekee ya ku level na Mombasa na ni Dar, yaani ni too obvious!., ata kipofu ataona🤣🤣🤣🤣😂😂, kojoa ulale tu.
toka zamani nakwambia we akili auna ila uelewi aseee hahahaaaa
 
Tafuta daktari wa kutibu vichaa, wewe sio mzima,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂, in Tanzania Kuna city moja pekee ya ku level na Mombasa na ni Dar, yaani ni too obvious!., ata kipofu ataona🤣🤣🤣🤣😂😂, kojoa ulale tu.
Wewe ndio unachanganyikiwa, watu wanakushangaa haswaa.. utawezaje ku level mombasa na DAR .? ..
 
Ukweli imekuacha na ugonjwa wa moyo, ni uchungu najua, ila vumilia, hambadilishi lolote.,, kojoa ulale na wewe pia, idiot🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
nlisha kwambia we uwa unafikiria kwenye matako uelewi
 
Back
Top Bottom