Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa unabisha anachosema joto la jiwe ? As unabisha, tangu uhuru Kunyaland haijawahi kukosa njaa!
 
Failed BRT.
Etieeeeee, mafanikio ya Tanzania yanakuuma sn mnuka mavi utadhani unaumia peke yako kumbe ni Wakenya wote [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani Kuna watu wazembe hii Dunia kuliko watanzania?[emoji23][emoji23][emoji1787]
Alafu wanawalisha ndiyo mnapata nguvu ya kwenda kwa choo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mkunya hapo juu nimemuona ana compare BRT system na reli [emoji23]
 
Nyinyi shindaneni na Burundi


View attachment 2398599
Lazima tumeshapanda,tumeshatekeleza miradi mingi sana kwa kipindi cha kuanzia 2015 to-date
1.Km 342 Tabora-Mpanda done,nadhani unaona ubora wake


Kwa kipindi hicho Serikali ya awamu ya 5 ilikamilisha kujenga barabara kwa kiwango cha lami na baadhi zege jumla 3500KM

Kufufua reli ya mkoloni Dar-Moshi-Arusha 600Km na kutoka Tanga hadi Arusha

Kufufua Reli ya Kati kutoka Dar hadi Isaka 900Km

Kujenga SGR kutoka Dar Hadi Mwanza apa wamekamilisha Dar Dodoma 450Km

Viwanja vya ndege nk.
Nnauhakika kuna nchi nyingi kwa kipindi hicho hakijanusa hata robo ya kazi zilizofanyika Tz
 
Kuna nchi ya kimbwa mbwa hapa huwezi kuikosa katika data za aid za nchi yoyote inayotoa misaada duniani, hii ni US ila UK wakiweka pia hawakosi, U.A.E wakiweka hawakosi, China ndiyo kabisa wanawasaidia kila kitu mpaka visima vya maji ni msaada toka China [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usisahau kwamba hii ni aid na sio mkopo, so aid wamo na mkopo pia wamo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Statistics zinaonesha bandari ya Mombasa inaongoza kupokea misaada kuliko business cargo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya ni hovyo sana aisee, ukiangalia kila kitu wanafanyiwa kuanzia roads,high rises, railway, estate mpk shirika la ndege sio lao, na hii yote ni kwasababu ya nature ya nchi yao kwamba viongozi wanamiliki kila kitu ndani ya hiyo failed state wakishirikiana na mabeberu, yani wanakula sn kwakweli, hawa nyani weusi wametulia tu hawajui la kufanya maskini ya Mungu.
 
Nairobi wanaweza kuwa na barabara next level lakini wakija Dar wanatamani sana mwendokasi.. apo ngoma draw
 
US wanepeleka hela sehemu wameona kuna faida flani, yaani some value inaweza kua pale, so wanatongoza kwa aid, for their interest first ndio maana giants wako kwa list kama Kenya, South Africa na Nigeria, lakini watu fukara wasio kuwa na faida ya maana hapa Africa wanapitwa tu.., yaani mnajaza choo tu, hamuna ata ya kuwasaidia omba omba wenu wanawakimbia wanakuja Kenya kujitafutia, idiots 😝 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Misaada Republic of Kenya
 
I've been asking Tanzanians to serve us with CBD street photos in vain. Look at how modern cities look like.

 
Msaada anapewa alieomba msaada Acha kiswahili kingi kaka..mbaya zaidi ni misaada ya chakula umbwa ninyi hata kulima hamuwez?
Uache kutumia neno Giant kwenye mambo ya kipuuzi tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…