Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This should tell you that Tanzania is always 10yrs plus nyuma ya Kenya.
 
Sasa hapa najaribu kujiuliza zinapita baiskeli au watu ila ni cable stayed bridge according to Challie Chaplin a.k.a mnuka mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna raia wajinga kama wadanganyika chini ya CCM. Kudanganya danganywa hadi magufuli kashaoza na bado SGR haijaanza kazi. Train pia kadanganywa
 
Eti hii ni bridge pia ni cable stayed, Dah mnuka mavi leo you made my day [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Exactly. Tatizo hivyo vitu kama sio priority ya mkuu wa nchi, tutapiga kelele wee na hakuna kitu kitafanyika. Check saiz hata dodoma stadium haiongelew tena
 
Hii Sio cable stayed bridge.. hii ni suspension bridge.. Kenya hakuna cable stayed bridge .🤣🤣🤣
Cable Stayed Bridge and suspension is one thing with interchanged words. Both employ the use of cables to offer support to the bridge. Najua hiyo akili Yako haiezijua hiyo🤣🤣😂
 
Cable Stayed Bridge and suspension is one thing with interchanged words. Both employ the use of cables to offer support to the bridge. Najua hiyo akili Yako haiezijua hiyo🤣🤣😂
We unajiatress bure baba.. furahia hao mapeng.. acha kujisumbua akili utaota horror na watu kama the best sijui 007 na mi nakusho madem hapa ivi😂😂😂
 
Sioni demu hata mmoja aliebambiwa, wanaume wa Kenya mna tatizo gani! This tells a lot!
Adi madem wanafanya ikuwe battle 😂😂 nani aliwaroga msee😂😂
This was not up for debate , ona hii njuguna...puny a$$ lambistic sh!+ 😂
 
Hawa ni wajinga tupu, yani infrastructure ya 16th Century ndio wanapiga nayo kelele Hapa🤣🤣😂😂
Baba dunia yote kila pahali likitengenezwa daraja lazima liwe ni cable stayed bridge, hio haikuambii chochote kichwani mwako.? 🤣🤣 Au ni wivu inakuponza.?
 
It's very funny 🤣🤣🤣 Hii kitu ni suspension bridge 👇kitu ya wapita kwa miguu View attachment 2398809takataka kama hii tulishawahi kuwa nayo kitambo sana .. kirumi bridge 👇View attachment 2398814
Is it a bridge or not? Does it use a cable technology or not? Niliskia mtu akisema ati kichwa chako inatumika na hewa kama roundabout. I can confidently say he was 100% correct.
 
Unataka kulinganisha commuter rail na BRT .? 🤣🤣 Kwanini usikubali kushindwa.? Even in Dar es Salaam kuna commuter rail mzee ..
Yes, cause our commuter is more efficient than your BRT. Ebu onyesha hiyo commuter rail ya Dar tucheke kidogo🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…