Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnapakataa kwenu au sio, haya nipe picha mpya za hapa ili nijue mmebomoa jana leo mmejenga, jikubalini na hali yenu na muwache uchafu mnatia kinyaa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2397347View attachment 2397348View attachment 2397349View attachment 2397350View attachment 2397351View attachment 2397352View attachment 2397353View attachment 2397354
This is a very decent photo of how cities should be, well with pavements. Hivyo vikaratasi ni taka ya kawaida utaipata majioni kisha kesho zitaokota na wafanyikazi wa Serikali ya Kaunti. Tuonyesheni street level za Dar CBD Tuone kama mna vitu kama hizi.

tapatalk_6867661_360x480-jpg.2397354
 
Haya mavi kwako sio uchafu mana nyie Wakenya mmelelewa katika mazingira ya uchafu hasa nyie wanawake wa Kenya nasikia ni wachafu kupitiliza, yn mtoto wa kike kabisa anasema haya mavi sio uchafu [emoji116][emoji116][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Screenshot_20221025-132224.jpg
 
Kwani nyie mna CBD ngapi hebu ziweke humu mana nakusikia ckia unaongelea CBD mara kwa mara, yn nyie vimajengo viwili vikiinuka tayari mnaita CBD, mbn cc hatuiti Victoria a CBD. Mnaita CBD na bado vighorofa vyote viko sehemu moja wkt cc from CBD to new CBD ni km kibao. Nyie ni vichaa.

Sehemu ikiwa na ghorofa tatu kwao tayari ni CBD. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sehemu ikiwa na ghorofa tatu kwao tayari ni CBD. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna kitu Dar mrogi.., nyie u have one single CBD., mengine ni levels za Eastleigh, ata hiyo Eastleigh imepanda bei sana, ama na hii pia eti ni CBD? nyumba za waarabu na wahindi town centre😂😂😂😂😂😂😂.., stone age city, nyambaff😂😂😂😂😂😂😂😂., Kabul Afghanistan..,
View attachment 2397295
Niwekee hii picha nitaihitaji. 🤣 🤣
 
Kwani nyie mna CBD ngapi hebu ziweke humu mana nakusikia ckia unaongelea CBD mara kwa mara, yn nyie vimajengo viwili vikiinuka tayari mnaita CBD, mbn cc hatuiti Victoria a CBD. Mnaita CBD na bado vighorofa vyote viko sehemu moja wkt cc from CBD to new CBD ni km kibao. Nyie ni vichaa.
Kwa hivo Westlands na Upperhill zina gorofa tatu? Wewe una wazimu? 🤣 🤣
 
This is a very decent photo of how cities should be, well with pavements. Hivyo vikaratasi ni taka ya kawaida utaipata majioni kisha kesho zitaokota na wafanyikazi wa Serikali ya Kaunti. Tuonyesheni street level za Dar CBD Tuone kama mna vitu kama hizi.

tapatalk_6867661_360x480-jpg.2397354
Dah aisee pavement chafu hivyo? Yaani pavement ni kitu cha kujivunia kama mji? Pavements ambazo zipo kwenye kila nyumba ya mtanzania achilia mbali miundombinu ya serikali!
 
Ile cku utathibitisha hapo ni Dar naondoka jamiiforums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio Dar ni Malawi basi.., wacha tusingizie malawi msife kwa maumivu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 , let's go with Malawi, wao hawana tatizo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Malawi
1666695229375.png

1666695194720.png

1666695143774.png

1666695160404.png

1666695169840.png

1666695179784.png

1666695205497.png
 
Back
Top Bottom