Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii SADC Wabongolala huwa mmeing'ang'ania Sana yet Wasauzi hawawatambui hata kidogo.
 
Leo umetuonyesha angle mpya ya jiji la Nairobi. Safisheni mji wenu ni mchafu sana [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Hii ni kazi ngumu sana, Kwa sisi tunaowajua Wakenya, asili yao ni uchafu. Kuna watu kibera hawanyi kwenye tundu la choo, mtu lazima anye pembeni, maji hataki kutumia, akikosa tissue bora atumie majani! Hawa watu wagumu sana aisee! Ukiwaona supermarket wananyong'aa ukienda kuishi nao siku mbili tu utakimbia!

Na mtu abishe hili! Nina ndugu zangu asili yao kibera, nina ndugu wanaishi pangani! Tuna nyumba ya urithi ya babu Eastleigh!!

Hamniambii kitu nnyie nyang'au!
 
Alafu hakuna kiongozi mkubwa amewahi kukemea hili bomu la ujenzi wa kiholela, wamekaa kimya hata Magufuli hakuwahi kuongelea hili jambo, huyu aliyepo naye ndiyo kabisaa hajui kama kuna ujenzi holela, sijui hawaoni!!!
Nadhani kwa mtazamo wao wanaona ni sawa maana ndio mwisho wao wa kufikiria ulipogotea. [emoji57]
 
Kunyaland haina tofauti na Iraq, Afghanistan au Nigeria huko Kanu linapokuja suala la Usalama, bandits juzi kati wameteka basi la wanafunzi na kuua wanafunzi, kunyaland ni failed shithole zoo

Nigeria na Kenya huwa wanateteana maana wanajuana kwa tabia zao chafu.
 
Hehehe
 
Huwezi kuona nchi kama hizi zikishawishi Wakunya wakasome kwenye nchi zao, infact hata visa kuwapa Wakunya ni ngumu wakati Tanzania ni jambo la kawaida




Halafu kuna mtu anasema eti Waafrika siyo wazuri, wazee mnaona kama mimi au [emoji2][emoji2][emoji2][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hawa mahustler wamekimbia uzi baada ya kuona hayawi hayawi yanaenda kutimia mzigo wa electric trains uko majini unaelea na wao walikuwa wanasema tuwaoneshe hata cm moja ya sgr. Kuficha aibu inabidi wasepe mapema tuu.
Sijakusoma mkuu. Nini kiko kwenye maji kinaelea?
 
Kwani 7 ukijenga jengo ndio umemaliza kujenga?kuna mazingira nje ya nyumba ndio inafanya mandhari kua nzuri...ilikua ni observation yangu
Okay! Okay! Kaka nimekuelewa, kiuchafu kidogo kinaweza kuharibu taswira nzima ya jengo hata kama ni zuri kwa muonekano.
 
Ukiongea kwa namna hii hapo unajua unachokisema.
 
Hii SADC Wabongolala huwa mmeing'ang'ania Sana yet Wasauzi hawawatambui hata kidogo.
Tukisema Kagera imedorora kiuchumi kwasababu ya vita ya mwaka 78,mnyauko wa migomba, Ukimwi, mali za Ushirika za mkoa wa Kagera kuibwa, miundombinu hafifu Chalamila na wenzie hawataki kuyasikia haya lakini Tanzania kuwa na uchumi hafifu kwasbabu ya Ukombozi wa nchi za SADC hewalaa umeronga mahali penyewe.Tuweni fair Watanzania wenzangu.
 
Nyinyi ndio waanzilishi wa hii mambo, kama vipi tupitishe sheria [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi vipi na mnashinda mkisema uchumi was Kenya umeshikiliwa na mzungu? Sisi huwaonyesha tu ukweli wa mambo.,🀣
 
Achaneni na SADC, hawamthamini mnavyowathamini.
 
Achaneni na SADC, hawamthamini mnavyowathamini.
Ni kweli tuangalie mambo yetu.Uthamini wao upo midomoni lakini siyo kivitendo ndio maana tunamkubali Magufuli hakuangalia mbambamba za undugunization wa SADC alitaka sote tunufaike na huo umoja.
 
Kwahyo umeona ukisema gdp yenu ni 120 ndio utakua umeweza sana? Mbona usiround off 67 to 70?umbwa
Yaani a fact pia wewe inakuuma πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ mtanyooka this time round, niliamusha kivumbi humu..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…