Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa Mombasa tosha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ngoja tuzione hizo new CBD kwa ukaribu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kameenda Dodoma eti? hauna lako pumzika tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaiogopa sn Dom [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hio pic kaitoa huku. Hawa wajinga hawajawah kupiga picha zao wenyew, wanaogopa quality ya camera za simu zao zitawaumbua
 
hio ni nyinyi an LDC.. hatuna tyme na nyinyi.. hamuna hela


but did u knw SautiSoul and H_Art The Band are more famous in SA, Nigeria and Ghana than even your so called DiamondPlatnumz!

if u didn't know.. now u know!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]huwezi ata kuficha ujinga wako sekunde mbili?
 
Kuna eneo nililiona huko kibamba,kuna viwanja hadi vya mita 5-5,wenyeviti wa serikali za mitaa wana % wanapata kinapouzwa kiwanja,sasa wao awangaalia mandhari ya mitaa wanaangalia pesa tu
Ebu fikiria hiki 5/5 unajenga nini hata kibanda cha mbwa hakitoshi. Wapigwe marufuku kujihusisha na upimaji wa ardhi.

Wizara ya Ardhi iongeze maafisa wake kila Kata awepo Afisa Ardhi itasaidia kuondoa upimaji wa viwanja visivyoeleweka na ujengaji wa hovyo.

Apewe mandate ya kuzuia anayejenga pasipo kupata kibali hasa sehemu ambazo zinamilikiwa na serikali. Kama vile maeneo ya serikali za vijiji.

Wenyeviti wanayageuza miradi yao kuuza bila mipangilio. Au wapewe elimu jinsi ya kupanga miji/kugawa viwanja.
 
Hapa labda unazungumzia kwenye miji, halmashauri, Manipaa na Majiji lakini huku vijijini hawa uliowataja sijawahi kuwaona.
 
Wewe Don YF unatumia barabara ipi? Kati ya hiyo ya juu ya wenye Kenya na ya Wakenya??


View attachment 2396401
Natumia zote.., infact kwa sasa tangu ifunguliwe hakuna jam chini, Nairobi sio Dar kilaza, kama niko na haraka, nakimbizana na wakati napita juu kama naenda zangu nyumbani jioni napita chini.., hakuna sehemu utapata foleni..., traffic is always moving unless kuna ajali...,
 
Unaiogopa sn Dom [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dom ni below average kuitwa city, afadhali Arusha bana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kabisa kuharibiani miji, kama huwezi kujenga sehemu zilizopimwa nenda kapange. Kuna mambo serikali iache huruma ambazo zinaligharimu taifa. Watu wanajenga hadi kuzibiana njia, mwingine anajenga septic mbele ya mlango wa mwenzie. Huu ni ujinga kabisa kwani ni lazima kila mtu awe na nyumba.?
 
Hili sijui linawashinda nini mipango miji kila Kata akiwepo Afisa wa ardhi hakutakuwa na huu upuuzi. Tatizo wanawaachia Wenyeviti wa vijiji na Watendaji wa vijiji, hawa ndio wanaharibu.
 
Sa ukitaja Nairobi unaweza kutaja tena 1st World mbele ya iyo sentence?
Kabisa., kwani iko nini , Dar je? ata mbele ya Mombasa ni hayaπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…