Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Body language ya PM hapo inamaanisha kuna madudu. Huo mlango hauko sawa




Ni sawa lakini tender yoyote lazima kutakua na BOQ inavyoainisha materials na bei zake . Unaweza ukawa na bei ndogo ambayo inafikilisha . Kwa mfano unaqoute mfuko wa saruji ni 10k nayo sio sawa . Kila project inakua na budget estimation, to be honest kwa quality ya BRT phase 2 hadi mkuu wa wilaya alikua anawaambia warudie baadhi ya maeneo. Yaani nyufa zimeanza hata haijanza tumika.Serikali ikitangaza tender, atakayeshinda tender ni yule wa gharama ya chini.
Nina supportive documents baadhi hapa ila maadili ya kazi hayaniruhusu kupost.
Mfano tender ikitangazwa halafu;
Kampuni A gharama za kujenga = 500
Kampuni B gharama za kujenga = 450
Kampuni C gharama za kujenga = 650
Atakayeshinda tender na kupewa ni Kampuni B.
Soma habari kamili hapa mkuu..Body language ya PM hapo inamaanisha kuna madudu. Huo mlango hauko sawa![]()
🤣🤣🤣🤣 Dah noma dogo alikua kazingua 👇.Body language ya PM hapo inamaanisha kuna madudu. Huo mlango hauko sawa![]()
Unamiliki nn wewe kama Masha?that is more important, endelea kujitoa ufahamu
Kama tu milango iko hivyo itakuaje kuhusu mambo mengine
Wivu sio tuko world cup tu . Tumeingia quarter final . Wakunya mjinyonge sasa
We kwani unamiliki nini isipokua smart phone? Shenzi type. Shida uko wapi wakikuyu na wasomali wakisemekana ni among the richest tribes in Afrika? We ni wivu wa kidanganyika unakusumbuaUnamiliki nn wewe kama Masha?that is more important, endelea kujitoa ufahamu
Aisee ni ujinga ujinga tu kwenye miradi ya serikali, watu wanajilipua vile wanavyotaka kwasababu hakuna wa kuwafokea kalamu nayo imeisha winoSoma habari kamili hapa mkuu..
kuna mtu alisema watu walikuwa na nidhamu ya uoga, si ya kutoka moyon..
bongo hii mtu uwe na nidham ya kutoka moyon? Wakat kila mtu anasaka hela

.Huyu aliyepewa hii tender bila shaka ni fundi Maiko




Ni aibu hilo jengo baada ya muda mfupi ni nyufa mpasuko mwanzo mwisho.Kama tu milango iko hivyo itakuaje kuhusu mambo mengine