Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa akili hii usingeona peace corps kwenye rural areas zozote Africa, nimeona US peace corps maeneo hata umeme hamna anyway sikushangai sababu ndio akili yako imeisha hapo, kazi ya kutoa matibabu ni wito huwezi kuona watu wanakufa kwa Magonjwa yanayotibika na kuacha kujenga hospital kisa hapako kama Dar, akili zako ni za maiti
Ndio watumishi wetu hao mkuu, ubinafsi mbele tuwavumilie tu.
 
Dah hili ndio tatizo , kwani wanaoishi huko wanapungukiwa na nini? Masters inakufanya kuwa mweredi wa kufanya kazi eneo as long as unaokoa maisha ya watu . Idadi kubwa ya wagonjwa kwenye hospitali ya rufaa inasababishwa na ukosefu wa hospitali kubwa zenye vifaa tiba vya kutosha . Hii nzuri sana . Hata mtwara ilijengwa . Ni vizuri zinaongezeka haswa kwenye level ya wilaya
Machief hawataki kuondoka mjini bro, unatoka kazini unaingia kazini vijiwe kwa shift laki moja,Ndio maana Tibaijuka aliwaambia Mnajenga Hosp ya Kanda uko alafu mishahara wa kawaida mnategemea nani aende uko?Hao jamaa nakwambia wakiona hakieleweki wataondoka mmoja baada ya mwingine
 
Weww unataka uende wapi cha muhimu madaktari wajengewe nyumba za kuishi tuu, naelewaa ww ni daktari na kila kazi ina changamoto zake ila utachagua mwenyewe tuu ukae jobless au utimbe kijijin upige kazi ulipwe mshahara
Fundi Tuliaa,Watu hawategemei mishahara mjini kaka,Apo chato ukizubaa utaishia kua masikini nakwambia...Sema kwavile ni kanda ya ziwa wasukuma hua wanafunguka kidogo panaweza kua sihaba...Nawaonena huruma tu wale wa Mtwara...Waswahili wa Mtwara kule hela hawana
 
Kwa akili hii usingeona peace corps kwenye rural areas zozote Africa, nimeona US peace corps maeneo hata umeme hamna anyway sikushangai sababu ndio akili yako imeisha hapo, kazi ya kutoa matibabu ni wito huwezi kuona watu wanakufa kwa Magonjwa yanayotibika na kuacha kujenga hospital kisa hapako kama Dar, akili zako ni za maiti
Kafie mbele uko we ni nani nikusikilize?Kila mtu lazima afaidi alichokitafuta kwa bidii na kusacrifice muda wake mwingi,usiniletee ngonjera zako zakipumbavu,we unafikiri Upo tu kula na kunywa kama mbuzi? Huwezi kuelewa maana haujasoma
 
Machief hawataki kuondoka mjini bro, unatoka kazini unaingia kazini vijiwe kwa shift laki moja,Ndio maana Tibaijuka aliwaambia Mnajenga Hosp ya Kanda uko alafu mishahara wa kawaida mnategemea nani aende uko?Hao jamaa nakwambia wakiona hakieleweki wataondoka mmoja baada ya mwingine
Kwa hiyo hukutaka hospitali ijengwe? Hospitali ni huduma muhimu! Tena hata Kagera na Kigoma wanahitaji hospitali ya level hii! Pia mikoa mingine.
 
Fundi Tuliaa,Watu hawategemei mishahara mjini kaka,Apo chato ukizubaa utaishia kua masikini nakwambia...Sema kwavile ni kanda ya ziwa wasukuma hua wanafunguka kidogo panaweza kua sihaba...Nawaonena huruma tu wale wa Mtwara...Waswahili wa Mtwara kule hela hawana
Pamoja na usomi wako lakini bado umeonyesha ni namna gani akili yako ilivyo finyu, kufanya kazi vijijini kunaweza kuwa potential zaidi kuliko kufanya kazi mjini, since Mtwara kuna Ardhi yenye rutuba na inasapoti kilimo chochote (ukitaka mali utazipata shambani) uzuri zaidi Mtwara ni mkoa ambao hauko mbali na DSM pia, Upande wa chato alkadhalika ni wilaya inayopakana na mikoa miwili Geita na Bukoba na pia haipo mbali sana na Mwanza, kwahyo kwa kilimo+biashara vyote vinatoa .. Halafu mzee wangu, unavyo discourage watu kufanya kazi vijijini eti kwa kigezo cha hawatotajirika 🤣🤣 huo ni utahira, since udakitari ni wito, uko pale ili kuihudumia jamii, mlisomeshwa kwa mikopo (pesa za watanzania walipa kodi) mpaka mkamaliza, leo mkiitwa mkawahudumie kuokoa maisha yao mnakataa, kwa kigezo eti ni kijijini hakuna maisha mazuri🤣🤣.. mtanzania wa aina yako hautufai wewe kwenye mambo ya kuwa civil servant .. huna uzalendo, wewe ni mtanzania mshenzi kabisa wewe
 
Kwa hiyo hukutaka hospitali ijengwe? Hospitali ni huduma muhimu! Tena hata Kagera na Kigoma wanahitaji hospitali ya level hii! Pia mikoa mingine.
Unaweza kuona, huyo tuusan ni aina gani ya walevi ambao hatuwahitaji hapa nchini, bila shaka yeye ni aina ya wale madaktari kila ukienda hospitali kufuata huduma unaambiwa jamaa kasafiri.. nchi haina uzalendo, civil servants wanaeka mbele maslahi yao kuliko kulihudumia taifa..
 
Fundi Tuliaa,Watu hawategemei mishahara mjini kaka,Apo chato ukizubaa utaishia kua masikini nakwambia...Sema kwavile ni kanda ya ziwa wasukuma hua wanafunguka kidogo panaweza kua sihaba...Nawaonena huruma tu wale wa Mtwara...Waswahili wa Mtwara kule hela hawana
Kama kazi hailipi badlisha kazi ila sio kuhoji kwann hospitali ijengwe vijijin, watu wanasafiri zaidi ya km 500 ili kupata matibabu weww unaona sawa tuu udaktari na ualimu ni wito huwezi kufananisha na tasnia yoyote madaktari wote hawawez kulundikanai muhimbili sasa wanachi huko vijijini watatibiwa na akina nanii
 
Pamoja na usomi wako lakini bado umeonyesha ni namna gani akili yako ilivyo finyu, kufanya kazi vijijini kunaweza kuwa potential zaidi kuliko kufanya kazi mjini, since Mtwara kuna Ardhi yenye rutuba na inasapoti kilimo chochote (ukitaka mali utazipata shambani) uzuri zaidi Mtwara ni mkoa ambao hauko mbali na DSM pia, Upande wa chato alkadhalika ni wilaya inayopakana na mikoa miwili Geita na Bukoba na pia haipo mbali sana na Mwanza, kwahyo kwa kilimo+biashara vyote vinatoa .. Halafu mzee wangu, unavyo discourage watu kufanya kazi vijijini eti kwa kigezo cha hawatotajirika [emoji1787][emoji1787] huo ni utahira, since udakitari ni wito, uko pale ili kuihudumia jamii, mlisomeshwa kwa mikopo (pesa za watanzania walipa kodi) mpaka mkamaliza, leo mkiitwa mkawahudumie kuokoa maisha yao mnakataa, kwa kigezo eti ni kijijini hakuna maisha mazuri[emoji1787][emoji1787].. mtanzania wa aina yako hautufai wewe kwenye mambo ya kuwa civil servant .. huna uzalendo, wewe ni mtanzania mshenzi kabisa wewe

Ukishaona mtu muda mwingine anakuwa upande wa wakunya we jua tu ana ufinyu wa akili na akili ndogo.
 
Kama kazi hailipi badlisha kazi ila sio kuhoji kwann hospitali ijengwe vijijin, watu wanasafiri zaidi ya km 500 ili kupata matibabu weww unaona sawa tuu udaktari na ualimu ni wito huwezi kufananisha na tasnia yoyote madaktari wote hawawez kulundikanai muhimbili sasa wanachi huko vijijini watatibiwa na akina nanii
Huyu jamaa etu hayuko sawa upstairs
 
Malindi Bagamoyo road kipande kirefu kipo Kenya!
Kazi kwako
Screenshot_20221016-104550_Maps.jpg
screenshot_20221016-104647_maps-jpg.2388824
Screenshot_20221016-104709_Maps.jpg

But inaweza kuwa kweli, kipande cha bagamoyo hadi horohoro post haijapita along the coastal line
 
Attachments

  • Screenshot_20221016-104647_Maps.jpg
    Screenshot_20221016-104647_Maps.jpg
    141.4 KB · Views: 29
Kwa hiyo hukutaka hospitali ijengwe? Hospitali ni huduma muhimu! Tena hata Kagera na Kigoma wanahitaji hospitali ya level hii! Pia mikoa mingine.
Mimi sio kwamba sikutaka ijengwe,Nimetoa views zangu upande wa maslahi ya watoa huduma ukilinganisha na maeneo kama mwanza mjini ama Dar
 
Back
Top Bottom