Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CBD
IMG20221015084037_01.jpg
IMG20221015084051.jpg
IMG20221015084234.jpg
IMG20221015084248.jpg
IMG20221015084213.jpg
IMG20221015084057.jpg
 
Ninachoweza ku comment kuwa hizo ni forecast zinaweza kuwa ukweli au zikatofautiana kidogo..

GDP Ya Tanzania ni 67.8 bil usd last year bila kuweka Zanzibar..ukiweka Zanzibar it goes up hadi 72 to73bil usd

Forecast zinakuwa dertemined na benki kuu ya nchi plus sources nyingne kama World bank IMF ..plus unaweza kukua zaidi ya forecast

Kama mfano forecast ilikuwa 4.7% quater ya 1 ya 2022 ..ila gdp ilikuwa 5.4 %

Kuna sector kama kilimo..na fishing ambavyo naona Kama irrigation plan itazidi kuendelezwa kama mipango inavyosema tutakua zaidi

Kitu kingine i think vitu kama SGR , Ports nying na project nyingne kama JNHPP, Industrial Parks in Kibaha . bado zina contribute in terms of construction ..kuliko kugusa area nying za uchumi so maybe we are still in accumulating phase View attachment 2387571
Uchumi utajua zaidi ya hiyo forecast hasa kama mvua zitanyesha vizuri mikoa ya Southern Highlands Ili ku stabilise Bei ya Chakula..

GDP itaachaje kukua ikiwa Kila sekta ya uchumi ina perform vizuri this time around? Kuanzia bandari hadi sekta ya Maji..👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221014-211708.png
    Screenshot_20221014-211708.png
    215.8 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221015-225020.png
    Screenshot_20221015-225020.png
    136.6 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221015-225314.png
    Screenshot_20221015-225314.png
    154.1 KB · Views: 14
  • Screenshot_20221008-151031.png
    Screenshot_20221008-151031.png
    138.6 KB · Views: 11
  • Screenshot_20221005-104854.png
    Screenshot_20221005-104854.png
    210.4 KB · Views: 9
Najaribu kuwaza na kamasters kako unaenda kufanya kazi chato...Apo ukishatoka kazini unaenda wapi?mji uko wap apo
Kwa akili hii usingeona peace corps kwenye rural areas zozote Africa, nimeona US peace corps maeneo hata umeme hamna anyway sikushangai sababu ndio akili yako imeisha hapo, kazi ya kutoa matibabu ni wito huwezi kuona watu wanakufa kwa Magonjwa yanayotibika na kuacha kujenga hospital kisa hapako kama Dar, akili zako ni za maiti
 
Back
Top Bottom