Pamoja na usomi wako lakini bado umeonyesha ni namna gani akili yako ilivyo finyu, kufanya kazi vijijini kunaweza kuwa potential zaidi kuliko kufanya kazi mjini, since Mtwara kuna Ardhi yenye rutuba na inasapoti kilimo chochote (ukitaka mali utazipata shambani) uzuri zaidi Mtwara ni mkoa ambao hauko mbali na DSM pia, Upande wa chato alkadhalika ni wilaya inayopakana na mikoa miwili Geita na Bukoba na pia haipo mbali sana na Mwanza, kwahyo kwa kilimo+biashara vyote vinatoa .. Halafu mzee wangu, unavyo discourage watu kufanya kazi vijijini eti kwa kigezo cha hawatotajirika


huo ni utahira, since udakitari ni wito, uko pale ili kuihudumia jamii, mlisomeshwa kwa mikopo (pesa za watanzania walipa kodi) mpaka mkamaliza, leo mkiitwa mkawahudumie kuokoa maisha yao mnakataa, kwa kigezo eti ni kijijini hakuna maisha mazuri


.. mtanzania wa aina yako hautufai wewe kwenye mambo ya kuwa civil servant .. huna uzalendo, wewe ni mtanzania mshenzi kabisa wewe