game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,231
- 26,732
Full time
U17 Women FIFA World Cup 2022
France [emoji632] 1-2 Tanzania [emoji1241]
Imagine halafu hata haturingi
Full time
U17 Women FIFA World Cup 2022
France [emoji632] 1-2 Tanzania [emoji1241]
Na wala hatuiongelei, wangekuwa hawa watu wenye midomo mipana wangeshajaza server za JF humu, kitu chochote wakishinda hata umalaya ilimradi itajwe Kenya tu lazima wapost, washamba sn hawa jamaa.Imagine halafu hata haturingi
Na group liko hivi [emoji116][emoji116]Full time
U17 Women FIFA World Cup 2022
France [emoji632] 1-2 Tanzania [emoji1241]
Iyo hospital ni ya kanda gani mkuu[emoji2][emoji2][emoji3][emoji1787]Hospital ya Kanda ya chato kukumilishwa [emoji116].
Halafu kuna ghorofa nyingine inajengwa near by mzizima. Sijui itakua ghorofa ngapi?Mzizika tower likiisha CBD patakua moto sana
Hapa Kenya za 30+ floors zinainuka kibao Hadi hatuwezi keep up.Halafu kuna ghorofa nyingine inajengwa near by mzizima. Sijui itakua ghorofa ngapi?
Yap huwa naona crane pale, mwenye renda aweke humu tuoneHalafu kuna ghorofa nyingine inajengwa near by mzizima. Sijui itakua ghorofa ngapi?
Endeleeni kujenga mana eneo kubwa bado ni pori.Hapa Kenya za 30+ floors zinainuka kibao Hadi hatuwezi keep up.
upande upi Boss, Pale kanisani wana proposal ya tower kali sana .Yap huwa naona crane pale, mwenye renda aweke humu tuone
Hospital ya rufaa ya kanda Chato👇. tuusan
😂😂😂 we jamaa bhana…….eti hata umalaya😅Na wala hatuiongelei, wangekuwa hawa watu wenye midomo mipana wangeshajaza server za JF humu, kitu chochote wakishinda hata umalaya ilimradi itajwe Kenya tu lazima wapost, washamba sn hawa jamaa.
Wape na hii waumie vzr [emoji116][emoji116]EA's real super power [emoji116]. Kwenye ubora wake.. wakali wa hizi kazi ukanda huu