Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe yafaa uende hospitali. 🤣 🤣 🤣 🤣
These ones are servant quarters in Muthaiga. 🤣🤣🤣
Mtu alinganishe hizo servant quarters na hii? 🤣 🤣

62b83f68a561adbea566130.mobile-gallery-large.jpg
5-bedroom-house-for-sale-in-old-muthaiga-3usqc.jpg
 
Attachments

  • 301621494_606142087666861_1912281471251858055_n.webp.jpg
    301621494_606142087666861_1912281471251858055_n.webp.jpg
    154.5 KB · Views: 10
  • FB_IMG_1665780626649.jpg
    FB_IMG_1665780626649.jpg
    78.1 KB · Views: 10
  • FB_IMG_1665780555874.jpg
    FB_IMG_1665780555874.jpg
    78.1 KB · Views: 10
Rate zetu za >6% ndo tumezipeleka DRC. Huzun
20221015_065731.jpg

Miaka ya juizijuizi ilivyokuwa. 👇
2020, mwaka wa corona tulikuwa among wachache wenye +
Screenshot_20221015-071942_WPS Office.jpg

Afu watanzania. Ukiacha na mwaka wa 2021, mbona hawa wakurugwa wa kaskazin hakuna mwaka wametuzidi kwa growth % lkn sis GDP ipo almost kulekule chin ya 65? Au numeric change yao ni kubwa zaid? Lkn hakuna dalili ya kuwasogelea inspite of big % change yetu ya kila mwaka. Kuna uwalakin
 
Rate zetu za >6% ndo tumezipeleka DRC. HuzunView attachment 2387543

Miaka ya juizijuizi ilivyokuwa.
2020, mwaka wa corona tulikuwa among wachache wenye +
View attachment 2387554

Ili tuwafikie Kenya inabidi gdp ikue kwa 10% mfulululizo kwa miaka kama 8 hivi chini ya hapo tutaendelea kula za uso...

Vivyo hivyo yao ikue kwa chini ya 10% yani isivuke 7% kwa kipindi hicho cha miaka 8
 
Rate zetu za >6% ndo tumezipeleka DRC. HuzunView attachment 2387543

Miaka ya juizijuizi ilivyokuwa.
2020, mwaka wa corona tulikuwa among wachache wenye +
View attachment 2387554
Afu watanzania. Ukiacha na mwaka wa 2021, mbona hawa wakurugwa wa kaskazin hakuna mwaka wametuzidi kwa growth % lkn sis GDP ipo almost kulekule chin ya 65? Au numeric change yao ni kubwa zaid? Lkn hakuna dalili ya kuwasogelea inspite of big % change yetu ya kila mwaka. Kuna uwalakin
Ninachoweza ku comment kuwa hizo ni forecast zinaweza kuwa ukweli au zikatofautiana kidogo..

GDP Ya Tanzania ni 67.8 bil usd last year bila kuweka Zanzibar..ukiweka Zanzibar it goes up hadi 72 to73bil usd

Forecast zinakuwa dertemined na benki kuu ya nchi plus sources nyingne kama World bank IMF ..plus unaweza kukua zaidi ya forecast

Kama mfano forecast ilikuwa 4.7% quater ya 1 ya 2022 ..ila gdp ilikuwa 5.4 %

Kuna sector kama kilimo..na fishing ambavyo naona Kama irrigation plan itazidi kuendelezwa kama mipango inavyosema tutakua zaidi

Kitu kingine i think vitu kama SGR , Ports nying na project nyingne kama JNHPP, Industrial Parks in Kibaha . bado zina contribute in terms of construction ..kuliko kugusa area nying za uchumi so maybe we are still in accumulating phase
Screenshot_20221015-074527_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom