REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
Wanajua ukweli.Aiseee! Anaongea sana,bado mtu anataka kuniaminisha kwamba ni utani tu [emoji848][emoji848][emoji848]
Jana kaongea kama Kamanda wa jeshi la nchi kavu kwamba ataiteka Nairobi.
Leo kawa promoted na kuwa full General wa UPDF,kwanini baba yake hakemei, balozi yupo kimya.
Wanaharakati wa Uganda hasa Byesigye na Kagulanyi (Bob wine) na Wakenya wa mitandaoni ndio wamepiga mayowe.
Very interesting.
Kenya wamepigana na kushinda vita gani? wataongea nini? ni ukweli wanaambiwa kuwa wana jeshi dhaifu!