The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kenya ni choo wallahi [emoji2961][emoji2961]
Zote ni mpya.Niambie picha mpya iko wapi apo alafu mm nikuletee picha mpya ya Dar.
Au siyo mnuka mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zote ni mpya.
You people still use bundles? No wonder mnashikilia mkia huko na DRC kwa technology. lol.Weka picha mkuu, video hawana bandle hawa kima.
🤣🤣You people still use bundles? No wonder mnashikilia mkia huko na DRC kwa technology. lol.
🤣🤣🤣😂You people still use bundles? No wonder mnashikilia mkia huko na DRC kwa technology. lol.
According to you Naivasha is bigger than both Nairobi and Dar.
Afadhali kuliko kungojea wawekezaji
Jiulize hapa wanaishi mbwa wangapi hapa kama co 4mil mbwaz[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2373059View attachment 2373062
Kuna pesa za watu kwenye huo mradi, so wameamua liwalo na liwe lkn pesa zao lazima wazipate. Maana ukiangalia mantiki ya kujenga bandari nyingine hakuna kabisa.Binafsi sioni umuhimu wa kutapanya dola bilioni 10 kuanza bandari nyingine ikiwa tunaweza tumia dola bilioni mbili kuimarisha bandari ya Dar es Salaam ,
Hasa ukizingatia ule upande wa Kigamboni ni virgin kabisa. Kisha tuimarishe bandari ya Mtwara na Tanga kwa dola bilioni moja,
Hapo tunakuwa tumemaliza kabisa
Kuna pesa za watu kwenye huo mradi, so wameamua liwalo na liwe lkn pesa zao lazima wazipate. Maana ukiangalia mantiki ya kujenga bandari nyingine hakuna kabisa.
Undeveloped pori la kufa watu! Why?Here is Ruai - the place you call a slum. Better than most middle class Estates in Dar
![]()
![]()
smart kabisa,is it true that large community of kikuyus live there???na sjauliza kwa ubaya sababu pia watz wameoa na kujenga uku Kenya Kwanza Kiambu,wachagga of TZ na Shona of Mozambique wamejenga manyumba smart sana Kiambu na wanaongea lugha mbili pia kikuyu
We acha tu mkuu, inakera sana. Hakuna wa kutusemea, na hv tunakaa kimya wanatuzoea sn aisee, wkt mwingine huwa naona bora uwe na roho mbaya kama Wakenya tu ili mambo yaende.Natamani tuingie mtaani *****. Hawa wapumbavu wametuzoea sana . Na huyu mama ndio hamna kitu kabisa.
Unadhani mm ninavyokaita ka Nairobi huwa nakaonea? Ni kamji kadogo kalikozungukwa na slums na vimaendeleo kdg.Undeveloped pori la kufa watu! Why?
Kinairobi ni finyu na bado kapo underdeveloped by 60%
View attachment 2373184