Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yet Tanzania only have one flyover.😂😂
1664287728836.png

😂 😂 😂
 
Hii GoT nayo kichomi tu mara kwa mara sijui kushirikiana mara ooh kuimarisha ushirikiano ukikaa kidogo utasikia serikali imesaini mkataba wa ushirikiano na nchi flani,ila inreal ukiingia deep hakuna chochote cha maana ni sawa sawa ya yale yale ya wawekezaji viongozi wakitoka n'nje ya nchi au wakitembelewa ndani ya nchi na kuambiwa maneno na watu kuwa wanahitaji kuwekeza nchini Viongozi wakubwa wanasimama mbele ya media nakusema kuwa tumepata wawekezaji wengi sana,ukiingia tena indeep hakuna cha uwekezaji uliofanyika zaidi ya GoT kupewa promise for nothing.
Umenikumbusha ziara ya Mama ubeligiji na Ufaransa ilitangazwa neema ya ajabu bado nasubiri 😄😄
 
Na Dodoma city inajengwa right and left over 50 governmental institutions buildings U/C, the longest highway in East and central Africa 110 km plus Msalato International Airport aside the booming Real Estate! Don't forget the +1200 km of SGR U/C! Fool we r not ur level! We r way above u hunger stricken country!

Magufuli bridge the longest in East and central Africa is U/C!
Saa zingine huwa mnaongea kama watu hawajielewi, hivi longest highway in East and Central Africa ni 110km?
 
Back
Top Bottom