The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Na ndiyo chanzo cha mto nile kama sijakosea.Kagera ndo biggest river inayofeed ziwa Victoria acha kuongopa..
Na ndiyo chanzo cha mto nile kama sijakosea.Kagera ndo biggest river inayofeed ziwa Victoria acha kuongopa..
Mau forest is the biggest forest in east Africa
DRC si east Africa but central Africa.
Takataka.
Still Kagera river has no comparison! Usilazimishe mzee! Everything is online! BTW what do u know about tributaries?Am talking about main rivers
Bigger ones.
Sio streams za homs bay,migori , mwanza,musoma etc!!!
Kweli wewe ni mkusanya kinyesi cha binadamu, huna akili kabisaIngekuwa uko na akili ungejua kwamba private sector pays taxes while government doesn't pay taxes to itself. In other terms buildings owned by private sectors are much beneficial to economy than those owned by government.
Hahahaha, wewe kweli ni mkusanya kinyesi cha binadamuThere are no people running away from their country like Tanzanians.
View attachment 2368310View attachment 2368311
Wewe kweli ni mkusanya kinyesi, hahahahaHamtegemei watu kutoka nje wakati uchumi wenu umeshikwa na wakenya?
Kuna neno nimesema hapo limebeba maana Sana "kwa Sasa". Mkuu kwasasa bandari zetu ziko "under utilized", vipi tunajinga kitu ambacho tutakihitaji miaka 30 ijayo wakati bado Kuna mahitaji ya msingi ya Sasa hivi hatujayatimiza?, bado Barabara zetu hatujazifikisha wilayani na vijijini, bado maji ni shida sehemu kubwa ya nchi, bado kilimo sio cha kisasa na bima ya afya haijawafikia kwa wananchi wote, vipi tutumie pesa nyingi kwa bandari ambapo zile zilizopo tumezifanyia ukarabati mkubwa na bado hazipati mzigo wa kutosha?Msiseme hivyo hii SGR inavyotanuka na opportunities zinaongezeka yaani kivutio cha makampuni kuja kuanzisha EPZs, sasa unafikiri katika bandari zote tulizo nazo kuna yenye nafasi kubwa kama Bagamoyo port? Mimi naelewa kwann serikali haitaki kuacha huu mradi! Inaangalia miaka 30 ijayo! Mchina na MuOmani wameondoka the US, France na Japan wamekuja!
Poorest country in the groupTangu awamu ya kwanza hadi sasa hivi awamu ya tano wimbo ni ule ule "njaa"
Nionyeshe WFP kwa hili bango.Haina Justification hiyo kaka [emoji3][emoji3][emoji3]
wfp food, fedheha
Unapinga kilicho wazi.Hamna donation imeandikwa kwa hiyo cheque naona jina Mwl Nyerere! tangu lini Mwl Nyerere foundation ime-deal na food donation? Njaa ni jina Kunyaland imebatizwa!
Kizungu ndio huwa inawasumbua.Kagera ndo MTO makubwa inayofeed ziwa Victoria...
Mnapenda kujipandisha Kwa kila kitu...View attachment 2369260
Kabisa...Kagera ndo mto mkubwa unaomwaga maji yake humo ziwani...ndo maana upo ndani ya Nile River basin...maana ukikauka Egypt hawana maji tena...Na ndiyo chanzo cha mto nile kama sijakosea.
Sasa unabisha nini leta mto wako mkubwa kuliko Kagera ukanda wa ziwa Victoria...Kizungu ndio huwa inawasumbua.
Hii GoT nayo kichomi tu mara kwa mara sijui kushirikiana mara ooh kuimarisha ushirikiano ukikaa kidogo utasikia serikali imesaini mkataba wa ushirikiano na nchi flani,ila inreal ukiingia deep hakuna chochote cha maana ni sawa sawa ya yale yale ya wawekezaji viongozi wakitoka n'nje ya nchi au wakitembelewa ndani ya nchi na kuambiwa maneno na watu kuwa wanahitaji kuwekeza nchini Viongozi wakubwa wanasimama mbele ya media nakusema kuwa tumepata wawekezaji wengi sana,ukiingia tena indeep hakuna cha uwekezaji uliofanyika zaidi ya GoT kupewa promise for nothing.
Hajasema Kagera sio mto mkubwa unaoingia Ziwa Victoria, in fact kwa maandishi yake amemention Kagera. Amesema apart from Kagera, mito nyengine mikubwa inayoingia Ziwani imetokea Kenya Cherengani hills na Mau forest. Wewe na kiingereza chako hafifu umeelewa vyako.Sasa unabisha nini leta mto wako mkubwa kuliko Kagera ukanda wa ziwa Victoria...
NILISHA SEMA UMU NDANI awa watu uwa wanapika takwimu uchwara tyu awana kitu hao kunyani
There's a difference between a woodland and a forest you idiot.