Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
Unajua miombo woodland forest? hebu fanya Google maps!Unacompare shrubs with empty spaces all over with a tropical montane thick Forest!!!
Unajua miombo woodland forest? hebu fanya Google maps!Unacompare shrubs with empty spaces all over with a tropical montane thick Forest!!!
Kwamba ardhi inajilima yenyewe au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kwamba inajilima kiasi cha kutoa na ziada tunawaletea na nyie mnajaza matumbo yenu mnapata kwenda kwa choo au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mbn na nyie ardhi haijilimi yenyewe au mmelaaniwa na huyo maulana? Si mnasema mna mito mingi kuliko Tz, iweje mshindwe kuwa na ardhi inayojilima kama sisi mkapata chakula mpk cha kuwapa jirani kama sisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nenda umuongopee babaako kwamba chakula hakikuwa cha msaada [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2369393View attachment 2369394View attachment 2369395![]()
US Sets Record With Ksh23 Billion Donation After Ruto's Plea
Ruto described the millions of working people in developing countries as an untapped resource that could drive growth.www.kenyans.co.ke
Wanataka kubadilisha wimbo eti chakula ni chao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani hana hata mwezi ila tayari ashaanza kutembeza bakuli! [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa road haina sideways unategemea mtatembea wapi, alafu mbn ni kawaida huko Kenya kuwa na mambo ya ajabu ajabu, over 80% ya roads za Kenya hazina sideways mfano angalia hapa watu wanatembea ndani barabara na wengine juu ya flyover [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Thika rd to tao. Huyo anatembea ndani ya highway haikosi ni mtanzania. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2369392
Poorest country in the group
Unategemea nini?
Na wanavyozaliana kama panya huku hawana ardhi yoyote ndio watakufa njaa zaidi miaka ijayo
A very cleaver man …. The 23 billion kenya ingetoa kwa chakula sasa wameiweka kwa ferterlizer wakulima washa anza kupokea subsidized ferterlizer… thus man is giubg to take kenya far ngoja muoneYaani hana hata mwezi ila tayari ashaanza kutembeza bakuli! [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mjinga anamake sure anatafuta the worst photos ndo aweke hehe nktZaidi ya 90% ya roads za Kenya hazina sideways.View attachment 2369440View attachment 2369441View attachment 2369447View attachment 2369449
Zaidi ya 90% ya roads za Kenya hazina sideways.View attachment 2369440View attachment 2369441View attachment 2369447View attachment 2369449
Sideways ndio nini wewe soja?Sasa road haina sideways unategemea mtatembea wapi, alafu mbn ni kawaida huko Kenya kuwa na mambo ya ajabu ajabu, over 80% ya roads za Kenya hazina sideways mfano angalia hapa watu wanatembea ndani barabara na wengine juu ya flyover [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2369427View attachment 2369429View attachment 2369431
Nchi ya kishenzi hii!Zaidi ya 90% ya roads za Kenya hazina sideways.View attachment 2369440View attachment 2369441View attachment 2369447View attachment 2369449
Hapa unataka kutuonyesha nnThika rd to tao. Huyo anatembea ndani ya highway haikosi ni mtanzania. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2369392
Mwaka saivi tuliahidiwa karbu bilioni 5$ na wawekezajiHii GoT nayo kichomi tu mara kwa mara sijui kushirikiana mara ooh kuimarisha ushirikiano ukikaa kidogo utasikia serikali imesaini mkataba wa ushirikiano na nchi flani,ila inreal ukiingia deep hakuna chochote cha maana ni sawa sawa ya yale yale ya wawekezaji viongozi wakitoka n'nje ya nchi au wakitembelewa ndani ya nchi na kuambiwa maneno na watu kuwa wanahitaji kuwekeza nchini Viongozi wakubwa wanasimama mbele ya media nakusema kuwa tumepata wawekezaji wengi sana,ukiingia tena indeep hakuna cha uwekezaji uliofanyika zaidi ya GoT kupewa promise for nothing.