Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

if u are suicidal, die alone. not with the whole world! we are not part of your nightmares putin.. wee bambana na hali yako

Screenshot_20220927-202728_Phoenix.jpg
Screenshot_20220927-202802_Phoenix.jpg
Screenshot_20220927-202828_Phoenix.jpg
 
Soja anaita sidewalks eti sideways. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] masaibu ya kua primary school dropout.
Wewe uliyejua alafu imekusaidia nn, je umeondokana na maisha ya slums? Hujazaliwa failed state? Je umepata pesa? Una kazi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu soja ni kama alikuwa danda sana shule[emoji23]
Mlivyo wapumbavu mpk mnahusianisha kingereza na elimu, aise kweli nyie ni wanuka mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umenikumbusha ziara ya Mama ubeligiji na Ufaransa ilitangazwa neema ya ajabu bado nasubiri [emoji1][emoji1]
[emoji2][emoji2][emoji2] tuendelee kusuburi

Yaani ni miyeyusho tupu,kuna tofauti kubwa sana ya kiongozi anayejifanya anatumia diplomasia kisiasa na yule kiongozi anayetumia diplomasia kiuwajibikaji...

Kwa upande wa mama tuwe wakweli tusipindishe hana uthubutu wa kusimamia mambo kiuwajibikaji bali yupo kisiasa zaidi na mikopo full fund[emoji2][emoji2][emoji2]
Hatujapata kitu hapo ni hasara tu
 
Back
Top Bottom