babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,305
- 35,733
Nchi ya njaa, yn wataleta vimbwembwe vyao lkn wanakuja kupata aibu sehemu ndogo tuu, msosi, yn kila mwaka wimbo ni msosi, msosi, msosi alafu wanataka kushindana na Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tangu awamu ya kwanza hadi sasa hivi awamu ya tano wimbo ni ule ule "njaa"