Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In late 2022, so called a country with the biggest economy in East Africa bado inaendelea kuwa nchi yenye njaa. Sad but its funny 😂
hii ramani, ukiitizama polepole, na uitafakari🤔🤔 utaelewa mbona.
nb: drought is the act of God, sio kupenda kwetu

Screenshot_20220122-121334_Earth.jpg
 
Kunyaland hatuwahudumii ninyi tu, tuna majukumu lukuki ya kikanda, tumebebeshwa mzigo wa lishe ya almost nusu ya Bara la Africa, ninyi kuhudumia matumbo yenu machache tu japo hata kwa 30% kunawashinda 🚮🚮🚮


Hiyo ni barabara? 🤣 🤣
 
Majirani wana Njaa naona Pres Ruto akijipanga kuwapa chakula cha Msaada, kinachoboa ni icho kingereza kingi alafu jambo linalozungumzwa ni Njaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....Matumizi ya lugha yakibiashara kuzungumzia vitu vya aibu

Kwamba jamaa wanaadress suala la njaa kwa lugha ya Kiingereza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom