Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 888
- 1,055
Yani wamejaribu njia zote za kujipiga kifua wameshindwa. Walianza eti kimetoka Tanzania, ukawabwaga, wamekuja sasa eti ni cha WFP with donations from Tanzania, pia umewabwaga.Achana na hawa wendazimu, video imeonyesha vizuri chakula kimetolewa na serikali ya Kenya, wao wanaleta majigambo eti ooh Tanzania this Tanzania that. Tazama bango.............chakula kingekuwa kimetolewa na Tanzania ama WFP logo ingewekwa. Hawa wameanza kurukwa na akili.
View attachment 2369178