Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku HE Samia Suluhu Hassan afanye huu upumbav! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawana hata aibu kidogo.

Hawa ndio financiers, kunyaland haina huo uwezo wa kununua chakula
Screenshot_20220926-181342.png
 
Kwanza, sa100 anatakiwa aseme usipolima serikali haitawaletea chakula!

Pili, kuhusiana na hizo pics, ingekuwa bongo.. ungesikia mkunya anasema.. We feed these lazy fools, cause all those foods are coming from Kenya. [emoji2]
Hicho Kikenya kimenichekesha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanza, sa100 anatakiwa aseme usipolima serikali haitawaletea chakula!

Pili, kuhusiana na hizo pics, ingekuwa bongo.. ungesikia mkunya anasema.. We feed these lazy fools, cause all those foods are coming from Kenya. [emoji2]
Wa kwanza kusema hivyo angekuwa DON YF [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwanza, sa100 anatakiwa aseme usipolima serikali haitawaletea chakula!

Pili, kuhusiana na hizo pics, ingekuwa bongo.. ungesikia mkunya anasema.. We feed these lazy fools, cause all those foods are coming from Kenya. [emoji2]

Naona siku hizi wameacha kuchapisha vile vi articles eti Watanzania ni wavivu! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kunyaland hatuwahudumii ninyi tu, tuna majukumu lukuki ya kikanda, tumebebeshwa mzigo wa lishe ya almost nusu ya Bara la Africa, ninyi kuhudumia matumbo yenu machache tu japo hata kwa 30% kunawashinda 🚮🚮🚮

Mpaka Japan tunaihudumia ama kweli Watanzania ni wachapa kazi, mazao ya chakula tu tunayozalisha ni mengi kupindukia lakini mpaka kwenye cash crops na penyewe tumeteka!

Angekua ni PM wa kunyaland hapa ni Japan ndio ingetoa msaada wa chakula lakini Tanzania tunawaomba soko la mazao yetu 💡

Majirani wana Njaa naona Pres Ruto akijipanga kuwapa chakula cha Msaada, kinachoboa ni icho kingereza kingi alafu jambo linalozungumzwa ni Njaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....Matumizi ya lugha yakibiashara kuzungumzia vitu vya aibu
 
Back
Top Bottom