Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KIA sio Kisumu we tumbili wa Maasai Mara.
Still it remains a local airport nyambaff.., angekua amepata position in a multi-national, heading more than 5 to 10 countries ndio ungeongea, tofauti yake na school principal ama a vice chancellor ni nini?..,she's just the head of a local entity., afadhali mama Anna Tibaijuka the first African woman to be elected by UN-General Assembly to head UN-Habitat..,
 
Unataka mpaka tuanze kuumbuana hapa?

Kwa taarifa fupi hyo nyimbo ulikua unaimba ilitoka mwanzon mwa miaka ya 2000
Screenshot_20220923-172035.jpg
 
Mkuu mbona wabunge na madiwani tunaowachagua, au hata rais tunaemchagua hatuwawajibishi zaidi ya kupiga kelele?, Bado rais anaendelea kuzurura hovyo pamoja na kelele za raia?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Raisi anaweza kuwajibishwa iwapo wabunge watafanya kazi yao vizuri na kuhusu kuwawajibisha wabunge kwenye next election tunawapiga knockout kama hawa perform
 
Nimekutana nao huku Korogwe na Handeni hadi huruma wanatafuta mahindi na Serikali inawatoa nduki kwenda vijijini kwa wakulina

Nilisema tufanye maombi au matambiko kwa hawa ndugu zetu, hali zao ni mbaya mno. Hii sio poa, watu wanasukuma ndinga kumbe hawana ugali?😂😂
 
TANZANIA ukiona chakula kimepanda bei jua kuwa ni mavuno hafifu yaliyotokana na hali ya hewa
 
Back
Top Bottom