The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Ni kweli serikali imeingia mkataba na Toyota hata hizi gari serikali inanunua kwa bei rahisi sana lakini 10% hawakosekani kitengo cha procurementSitaki kuwatetea.. lkn magari ya design hii ni muhimu kwa watu kama hao wanaozunguka sehem mbalimbali korofi na nzuri.. serikal imewapa kazi (majukumu) lkn pia lazima serikal ijali afya zao.. anaepanda prado (za wakenya) na land cruiser (za watanzania) ni vitu viwil tofaut 😄 .. its lame excuse but kuna utofauti 😄...
nb. Magari hayo yote niliyotaja yapo kwenye familia so naelewa nachoongea 😀
Unakuwanga illiterate lakini unaopenda kukazana na vitu za watu wamesoma.Hivi ni kipi usichokielewa?, Hata rais wenu mpya amesema kwamba Kenya mnaishi kuliko uwezo wenu unavyoruhusu.
Nchi hazipaswi kukopa zaidi ya uwezo wake wa kulipa deni, matokeo yake ni kwamba hakutokua na miradi mipya ya maendeleo kwasababu pesa yote itakua ikilipa deni la miradi ya zamani.
Kenya hivi Sasa katika kila Ksh 100 inayokusanywa na serikali yenu
1) 40 inaenda kulipa madeni
2) 52 inaenda kulipa mishahara ya watumishi wa umma
3) 8 ndiyo imebaki kwa akili ya huduma zote za kijamii na miradi ya maendeleo mipya, Sasa hapo Kuna nchi kweli?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hapo huwezi sikia environment impact ya coal . Lakini bomba la mafuta lina destroy environment.Wakati Kunyaland ina struggle ,Tanzania mambo ni bam bam![]()
Acha bwana. Naomba unidokezee kidogo mkuu nitoe tongo tongoI know reasons behind it, ila nitaitwa hater..
but i think its obvious reason(s).. anyone anaefatilia hili suala la SGR atazijua![]()

Hata mimi umeniuliza swali gumu ila ni kama kuna jambo unalifahamu hujataka kulisemaHandover inakuaga approved na consultant au client ? Nauliza sijui kwa kweli

Usiongee usichojua bwana kivevele
Au hio jan 2023 mtatumia umeme gan kama hakuna umeme kwa sasa

Na wewe ata kama umeandika porojo, tuseme ikue ukweli, unajua hiyo 8 ni ngapi in Tshs? kwa vile tunakusanya zaidi ya mara mbili ya yale mnao kusanya kilaza, na Kenya ni ndogo kwa Tanzania na watu ni wachache difference ya 10 million ukilinganisha, so do the maths..,Hivi ni kipi usichokielewa?, Hata rais wenu mpya amesema kwamba Kenya mnaishi kuliko uwezo wenu unavyoruhusu.
Nchi hazipaswi kukopa zaidi ya uwezo wake wa kulipa deni, matokeo yake ni kwamba hakutokua na miradi mipya ya maendeleo kwasababu pesa yote itakua ikilipa deni la miradi ya zamani.
Kenya hivi Sasa katika kila Ksh 100 inayokusanywa na serikali yenu
1) 40 inaenda kulipa madeni
2) 52 inaenda kulipa mishahara ya watumishi wa umma
3) 8 ndiyo imebaki kwa akili ya huduma zote za kijamii na miradi ya maendeleo mipya, Sasa hapo Kuna nchi kweli?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nilidhani ni position in a multi-national, yaani a global entity kumbe ni village airport, fanya utafiti kwanza kabla ya kujigamba 😝 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Safi Sana ,wanawake wa Tanzania wanazidi ku excel kwenye viwango vya juu 👇
Eti KiveveleUsiongee usichojua bwana kivevele
Au hio jan 2023 mtatumia umeme gan kama hakuna umeme kwa sasa

KIA sio Kisumu we tumbili wa Maasai Mara.Nilidhani ni position in a multi-national, yaani a global entity kumbe ni village airport, fanya utafiti kwanza kabla ya kujigamba 😝 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂