joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hawa wazanzibar waache unafiki, kwani hao watalii wameoa wazanzibar au ni wenyewe kwa wenyewe?. Hao wamefanya hicho kitendo katika maeneo ya utalii, ambako wanaruhusu shughuli za kitalii zisichanganyike na Mila zao, mbona wanaruhusu wanawake kuvaa na kutembea na nguo za kuogelea katika hayo maeneo?
MY TAKE
Huu ni mtego media zote za Kimagharibi zimetega kuskia hatua gani zitachukuliwa na kuanza kampeni za kutibua utalii! Hawa watu ni wapuuzi sana!
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app


