Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂😂😂😂😂
hii ni wewe.. ona👇🏽
Screenshot_20220923-151747_Chrome.jpg
Screenshot_20220923-151630_Chrome.jpg
Screenshot_20220923-151805_Chrome.jpg
 
🤣 🤣 🤣 I knew this was coming here within minutes. I was shocked it took this long.
yani, wanafwatilia😳😳 sana mambo ya kenya hawa watu 24/7 ikiongozwa na Geza.. huku sisi hatuna shugli na nchi yao.

yani hua tunapata tu tarifa za nchi yao kupitia hapa hapa jf ...pwahahaha🤣🤣🤣
 
Sitaki kuwatetea.. lkn magari ya design hii ni muhimu kwa watu kama hao wanaozunguka sehem mbalimbali korofi na nzuri.. serikal imewapa kazi (majukumu) lkn pia lazima serikal ijali afya zao.. anaepanda prado (za wakenya) na land cruiser (za watanzania) ni vitu viwil tofaut 😄 .. its lame excuse but kuna utofauti 😄...
nb. Magari hayo yote niliyotaja yapo kwenye familia so naelewa nachoongea 😀
KwahKwahiyo unataka kusema lazma iwe Toyota Land cruiser VX? Gari brand nyingine kama KIA ama Hyundai haiwezi ku-offer same comfort?
 
Back
Top Bottom