Tangu lini brains zenye upungufu wa balanced diet zikapata akili ya kuweza kutoa constructive reasoning.
Kila mkipigwa mnakimbilia USA, mkiambiwa Kenya Iko na deni kubwa linaathiri uchumi wenu, mnasema hata USA pia wamekopa, mkiambiwa mpo na slums mnasema hata Europe na USA pia Kuna slums, mkiambiwa mnakufa kwa njaa, mnasema hata South Afrika pia Kuna njaa
Kwahiyo ninyi hamkubali kwamba mpo na matatizo eti kwasababu hata nchi zingine pia Kuna hilo tatizo, ninyi ni failed state kwelikweli.
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app