Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
Sawa umeshinda🤣🤣unaenda mitandaoni ku search some random clips to console your ego
these are absolutely two different cases,
Hao umeleta are protesting agains higher costs of foods and food products at large,
Nyie mnaandamana sababu ya bei ya unga wa mahindi (Unga wa ugali to be specific )
A staple food
You and I know that ongezeko la bei kwa ksh.10 kwenye kilo ya unga wa mahindi is a Kenya’s national-wide crisis.
Yaani bei ya Unga ilikuwa ni Agenda muhimu wakati wa campaigns za uchaguzi
Then, sisi huku huwa hatupambanii wanasiasa, let them fight among themselves and whoever becomes the winner takes the lead, wanasiasa wetu huku wote wanafanana.
Naona pia mmejifunza kwetu, a reason hamjachinjana this time around. You are now ignoring Raila with passion. That’s growth.
Can't be in top three in Nairobi.Jengo refu zaidi Dar-es-Salaam, TPA Tower 162MView attachment 2362520
lakini bado GTC inai _fuck, sio?Jengo refu zaidi Dar-es-Salaam, TPA Tower 162MView attachment 2362520
Yenu ni minara nusu nyumba nusu ilo ni nyumba kama nyumbaCan't be in top three in Nairobi.
KilimaniHakun Estate Nairobi yenye barabara kali kama hii Oysterbay View attachment 2362543View attachment 2362544View attachment 2362545View attachment 2362546
With your reasoning then Burj khalifa should not be the tallest building in the world.Yenu ni minara nusu nyumba nusu ilo ni nyumba kama nyumba
Nionyeshe Wakenya wakianamana kwa ajili ya unga wa ugali.Kuandamana kwaajili unga wa ugali 🤣🤣 ni kiashiria Cha umaskini ulikiokithiri
Please tag me the day any of Tanzanian building appear in this list.Yenu ni minara nusu nyumba nusu ilo ni nyumba kama nyumba
Burj Khalifa unalifahamu?With your reasoning then Burj khalifa should not be the tallest building in the world.
Kwani ni lazima iwepo?
The highest floor on Burj khalifa is at 621m. This is shorter than the highest floor on Shanghai Tower which is at 632m.Burj Khalifa unalifahamu?
Leo nimepita barabara ya mandela road kutoka tazara kwenda vetenary (kumfata client wetu wa tanesco..kiwandan)..
1. Mbele kidogo ya sokoni, kuna eneo kubwa kushoto limevunjwavunjwa na wamezungushia fensi ya mabati ya blue.. wanajenga nn pale? Na katika kuulizializia wadau wanasema eneo lote lile ni la Manji kalichukua eneo lake, lkn bado sijajua wanajenga nn
2. Wakat narudi kutoka vetenary kwenda tazara, upande wa tazara hukohuko nimeona yale mabango, yanayotoa taarifa kuwa brt phase 3 inaanza ujenzi
La muhimu, ni hilo eneo mbele ya sokon wanajenga nn pale? Mana ni eneo kubwa sana
Najua mambo ya skyscrapers mlisha-surrender long time ago.Kwani ni lazima iwepo?
Ndio JPM alihamisha goli,lakini afadhali tunaimprovement nzuri kwenye barabara na madarajaNajua mambo ya skyscrapers mlisha-surrender long time ago.