Simba 254
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 2,679
- 1,766
Shabiby; BM wana bus kama hizi!
This just like the normal nairobi Matutu’s and not the best of the nairobi Matatu the kawaida ones
Shabiby; BM wana bus kama hizi!
Bwana huku Tz ni basha ako yn kidume kinachokupapasaJamaa kamefurahi juu nimemuita bwana, a common word that we even call nayo chokoraa huku![]()









Hehe kumbe wewe fukara tu na bado Ulikua unajaribu kubisha maisha ya watu… 🤣🤣Hiv kweli mkenya mpumbavu ni w kushindana na mimi kuhusu buses kweli.? Teargas we matako .. maisha yangu ya kila siku nikiwa kama mtanzania wa kawaida hii ndio huwa routine yangu 👇when I'm in DarView attachment 2361173nikiwa nasafiri pia huwa napita kwenye mavituo mazuri ya buses 👇View attachment 2361174View attachment 2361175bus terminal in my home town Tanga.. na nikiwa nakuja kwangu hapa DAR huwa natumia usafiri huuView attachment 2361178 👇View attachment 2361176au nipande Tashrifu 👇View attachment 2361177au nichukue zangu Nacharo. 👇View attachment 2361180and more..
Rahaleoe
Tahmed
Simba mtoto
Satellite
Raqib
Twakal
And more, sasa mbwa kama wewe utaniambia nini mimi kuhusu classic buses .? Hiv vyote si unaishia kuona hapahapa kwenye picha za jF tu nyang'au wewe.?
Sasa mbona unachanganya picha ya shuttle na buses pumbavu wewe.Sababu kenyans are not fascinated by buses hence Hawazipigi picha sana doesn’t mean we don’t have classic buses nataka unionyeshe any better bus than this in tanzania View attachment 2361257View attachment 2361260View attachment 2361259View attachment 2361261View attachment 2361262
Kijana ya kijiji huyo….. ana ushamba mwingi nilikuja kujuaNilishajipost kitambo sana huku. Wewe unakuanga na midomo na hakuna unachojua. I can remember there was a time you insisted that I post my certificates hili wewe pia hupost zako na hadi wa leo hujaipost hata report card ya nursery school. Ushamba utakuua bro.
Wazee wa makilometa sijui hawajaamka bado..?


Then pole for disappointing you. Bwana is despising name and that's why you will rarely see Kenyans using it here when addressing each other.Bwana huku Tz ni basha ako yn kidume kinachokupapasa![]()
Wengi wao wako hivo, juzi niliona soja amepost picha zake zenye alipiga kama amevaa napkins za yellow.Kijana ya kijiji huyo….. ana ushamba mwingi nilikuja kujua
Hii sio bus acha kutudanganya na vipicha kificho, huwa mna sahau kwamba huko nyuma mlipost haya matatu yenu.Sababu kenyans are not fascinated by buses hence Hawazipigi picha sana doesn’t mean we don’t have classic buses nataka unionyeshe any better bus than this in tanzania View attachment 2361257View attachment 2361261View attachment 2361262
Usiishie hpo tu ndugu yanguHii sio bus acha kutudanganya na vipicha kificho, huwa mna sahau kwamba huko nyuma mlipost haya matatu yenu.
View attachment 2361384


Traffic could not allow… only Biden was accepted to use the beast and that was after a special request, the rest of the world leaders are using the bus no big deal, it’s good to be humbleThey went to UK to embarrass themselves. They can't even be given private cars to take them to their hotels.
View attachment 2361449
Ni ujinga wa hali ya juu sana. Hata kama ni mmoja wa commonwealth.. ni lazima kwenda? Africans pls wake up!They went to UK to embarrass themselves. They can't even be given private cars to take them to their hotels.
View attachment 2361449
Wanategemea misaada ndio mana wanaburuzwa...Imekaa vibaya sanaThey went to UK to embarrass themselves. They can't even be given private cars to take them to their hotels.
View attachment 2361449
Owned by british indians, si usifie kiure engineering and they also do splendid jobsMzee hata moja inaweza fanya mageuzi makubwa ndo maana Mbarawa anahimiza kila siku kampuni za ujenzi ziungane ili ziweze ku-create one giant company na kushinda tender za $300 mln and above! Ujue kila Estim construction inavyoshinda tender ndo inapanuka pia! naiona ikija kuwa na revenue ya over $1 bln in the near future! Ujue ipo nchi nyingi sasa!
Hii sio bus acha kutudanganya na vipicha kificho, huwa mna sahau kwamba huko nyuma mlipost haya matatu yenu.Sababu kenyans are not fascinated by buses hence Hawazipigi picha sana doesn’t mean we don’t have classic buses nataka unionyeshe any better bus than this in tanzania View attachment 2361257View attachment 2361261View attachment 2361262
So they grouped all black presidents together because traffic did not allow mixing? 😂😂Traffic could not allow… only Biden was accepted to use the beast and that was after a special request, the rest of the world leaders are using the bus no big deal, it’s good to be humble