Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargas heb jipost kwanza Alaf na mimi nijipost ili uone wewe ni mshamba kiasi gani mbele yangu 🤣🤣, alaf uone kama kuna kitu chochote kizuri kuhusu hii dunia ya leo unaweza kujua kunizidi mbulula wewe
Nilishajipost kitambo sana huku. Wewe unakuanga na midomo na hakuna unachojua. I can remember there was a time you insisted that I post my certificates hili wewe pia hupost zako na hadi wa leo hujaipost hata report card ya nursery school. Ushamba utakuua bro.
 
Alafu kitu kingine we mbwa Teargas mimi naishi kwenye nchi yenye kampuni zaidi ya 100 za mabasi na huwa nasafiri karibu kila mwezi mara tatue hadi nne, mpuuzi kama wewe utanifundisha nini mimi kuhusu magari.?
Kitu ntakufundisha kuhusu magari ni kwamba mabasi za Tanzania zinaundwa Kenya. Again your reasoning is more village than I thought.
 
Seems like you are still immature (may be by age or by your thinking capacity). Whatever the government is doing is for the benefit of all Tanzanians regardless of religion, political affiliation, social class, ethnicity etc. I am really irritated by your divisive mind. I think you need a pyscho-therapy.
My advice, ignore that man

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hiv kweli mkenya mpumbavu ni w kushindana na mimi kuhusu buses kweli.? Teargas we matako .. maisha yangu ya kila siku nikiwa kama mtanzania wa kawaida hii ndio huwa routine yangu 👇when I'm in DarView attachment 2361173nikiwa nasafiri pia huwa napita kwenye mavituo mazuri ya buses 👇View attachment 2361174View attachment 2361175bus terminal in my home town Tanga.. na nikiwa nakuja kwangu hapa DAR huwa natumia usafiri huuView attachment 2361178 👇View attachment 2361176au nipande Tashrifu 👇View attachment 2361177au nichukue zangu Nacharo. 👇View attachment 2361180and more..
Rahaleoe
Tahmed
Simba mtoto
Satellite
Raqib
Twakal

And more, sasa mbwa kama wewe utaniambia nini mimi kuhusu classic buses .? Hiv vyote si unaishia kuona hapahapa kwenye picha za jF tu nyang'au wewe.?
Apart from Tahmeed, the rest are just ugly buses.
 
Mzee Subaru club hiyo na ni mwaka huu huu! Leta evidence kwamba ni ya kitambo 😅😅😅
Which other evidence do you want apart from confirming to you the registration number plates of those vehicles. Saa hizi number plates za Kenyan vehicles zimefika KDH, wewe na ujinga wako unatuwekea picha za magari za KAR🤣🤣🤣
 
Nairobi ni mombasa road tuu mkuu zaidi ya hapo hakuna barabara nyingine inayotoka na kuingia mjini
Enyewe wa tanzania akili hawana hehe Nani aliwaambia the more roads zinaingia mji mkuu the better? Nairobi ina barabara nne zinazo ingia mjini na zote kuna military camps strategically placed for the capital city security… najua hiyo wengi hamjui hapa, kazi kuropokwa tu
 
Leo wakati nipo Morogoro nilikutana na bus moja ya NAIROBI-Kampala mbovu iyo imekula stika everywhere 🤣🤣, nilikua nalinganisha na zilee gari zilizopo pale stendi akina Abood na BM couches .. yo Bongo ni balaa bhana
Sababu kenyans are not fascinated by buses hence Hawazipigi picha sana doesn’t mean we don’t have classic buses nataka unionyeshe any better bus than this in tanzania
E52313B1-233C-431B-BB7D-060535065BD3.jpeg
A66B46F0-5326-4676-BB10-3C700F44C503.jpeg
4186B276-FDAC-40C1-9591-4425F2B3CA1B.jpeg
B0E9831B-89FD-4FEF-8A4C-724E62882DE9.jpeg
A97CDD99-E1DC-46F6-B1EE-505B4EB73E8E.jpeg
 
Hiv kweli mkenya mpumbavu ni w kushindana na mimi kuhusu buses kweli.? Teargas we matako .. maisha yangu ya kila siku nikiwa kama mtanzania wa kawaida hii ndio huwa routine yangu 👇when I'm in DarView attachment 2361173nikiwa nasafiri pia huwa napita kwenye mavituo mazuri ya buses 👇View attachment 2361174View attachment 2361175bus terminal in my home town Tanga.. na nikiwa nakuja kwangu hapa DAR huwa natumia usafiri huuView attachment 2361178 👇View attachment 2361176au nipande Tashrifu 👇View attachment 2361177au nichukue zangu Nacharo. 👇View attachment 2361180and more..
Rahaleoe
Tahmed
Simba mtoto
Satellite
Raqib
Twakal

And more, sasa mbwa kama wewe utaniambia nini mimi kuhusu classic buses .? Hiv vyote si unaishia kuona hapahapa kwenye picha za jF tu nyang'au wewe.?
kamwene unoge.... 🤷‍♂️ 🤣🤣🤷‍♂️
 
Which other evidence do you want apart from confirming to you the registration number plates of those vehicles. Saa hizi number plates za Kenyan vehicles zimefika KDH, wewe na ujinga wako unatuwekea picha za magari za KAR🤣🤣🤣
Kwahiyo kisa hii gari ni toka dunia ianze kwa maana hiyo saivi ukiipiga picture na surroundings zinakua za kale? 😅😅

FGBMyycWYAAxrUn.jpeg
 
Those who were asking how multi nationals will help Kenya here you go…. They paying very high salaries hence forcing Kenyan companies too to cope or go home hehe win win for normal mwana chi
 
Local companies are struggling to recruit and retain key talent as US tech titans led by Microsoft, Amazon and Google tilt the market in their favour with high salaries and attractive employment terms.

The three multinationals have increased their presence in East Africa with Kenya as their hub, triggering an aggressive hiring spree that has seen them pay up to Sh1.8 million monthly for principal tech specialists.

The multinationals are also paying around Sh300,000 to junior tech developers, Sh500,000 for mid-level techies and between Sh800,000 and Sh1.3 million for lead and senior roles.

Smaller companies in the area such as Wasoko, Flocash, Twiga foods, Lori Systems, and Sendy, who had invested in and trained young engineers, have been swiftly outbid.

But while the talent war is resulting in higher compensation for Kenya’s techies, it is disrupting the business plans for local firms and smaller foreign technology companies.

Major telcos and banks, long considered the best-paying organisations for techies in Kenya, are also losing their top talent to Big Tech.
 
Back
Top Bottom