Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1726.jpg
 
🤣🤣🤣 Hizi sio gari za Tanzania Bablai. Soma hapo mbele ya gari uone hiyo route, Ratco za Bongo hazijafanyiwa assembling kenya, kama una ushahidi leta hapa, kondoo wewe
Ratco zilipitengezwa huko so far👇
Ex1YDxIXIAU38RY.jpg
.. Teargas. Uongo hautakupeleka popote 🤣🤣🤣 Ratco za Bongo zimetokea moja kwa moja kutoka kiwandani to Tz ..
 
🤣🤣🤣 Hizi sio gari za Tanzania Bablai. Soma hapo mbele ya gari uone hiyo route, Ratco za Bongo hazijafanyiwa assembling kenya, kama una ushahidi leta hapa, kondoo wewe
Buses zote za Ratco are assembled in Kenya. Ziwe za Bongo ama za USA.

Another batch of Ratco buses produced in Kenya by LSHS ptd EA.

1663586176879.jpg
1663586180705.jpg
1663586249181.jpg
 
Ebu taja those 49 lakes if you can.
Ndio maana amesema if its true. Hata mimi na doubt sana na hizi tafiti hasa kwa Kenya hizo lakes zipo wapi. Tuwe makini na hivi saa nyingine ni kutaka kuonyesha waafrika tu wajinga na wazembe kumbe tafiti siyo za kweli.
 
As Tanzania import their vehicles from Kenya. We have not forgotten ourselves as well.

This is Moyale line produced by LSHS

1663586522884.jpg
1663587047478.jpg
 
Back
Top Bottom