Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante Sana Ruto kwa kuua sgr na uchumi wa Nairobi 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220915-104224.png
    Screenshot_20220915-104224.png
    88.3 KB · Views: 9
Mwambie mwandishi akupe na Dar-Kubumbashi afu urudi kuongea uharo tena.
Uko na evidence yeyote inayo onyesha Dar is slum port iko na mizigo mingi zaidi ya Mombasa uweke humu nione?.,.., kama unapinga utafiti, leta evidence ya kuonyesha sio sahihi la sivyo na wewe fyata, ukweli mchungu ila zoea.
 
Swala ni idadi ya malori kwenye particular route..

Narudia tena Mwambie Mwandishi ataje idadi ya trips za Dar-Lusaka-Lubumbashi,mbona Dar-Kigali kaweka?

Evidence hii hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220802-205049.png
    Screenshot_20220802-205049.png
    117.7 KB · Views: 11
Swala ni idadi ya malori kwenye particular route..

Narudia tena Mwambie Mwandishi ataje idadi ya trips za Dar-Lusaka-Lubumbashi,mbona Dar-Kigali kaweka?

Evidence hii hapa 👇
Kumbe wewe ni boya, kilaza, mbumbumbu ama mburula, chagua moja coz u must be one of those 😂 😂 😂 😂 😂, if your trips are less ukilinganisha na za northern corridor, what should that tell you of tonnage? now pick each and compare na trips par route, with approximation, u can get an estimation ya Kenya's tonnes from the trips mentioned.,
 
Acha mapovu na kujichekesha kama senge wewe,nhoja sindano ikuingie 💉💉..

Narudia tena Mwambie Mwandishi akupe na trips za Southern Belt ndio uje kutoa mapovu maana hapo kaweka trips za kwenda Kampala ambako ndio main trip kwa Kenya,tunataka aweke namba of trips za main corridor ya Tanzania kutoka Dar-Lusaka-Lubumbashi..
 
Kazi ipo..
M7 naamin yuko kidete.. Sa100 sasa

Hawa wazungu ni wajinga sana.. somen hii joint motion yao.
Samia na wazir wenu Makamba (aliepinga ujenzi wa Nyerere HPP) sidhan kama wataenda kinyume na matakwa ya hawa wazungu
 
Wewe ni mpumbavu kweli, leta capacity ya Dar is slum port kwa mwaka.., kisha fanya hesabu yako, shabiki za kijinga peleka mbali, nyambaff.,
 
Wewe ni mpumbavu kweli, leta capacity ya Dar is slum port kwa mwaka.., kisha fanya hesabu yako, shabiki za kijinga peleka mbali, nyambaff.,
🚮🚮🚮🚮 Drankard monkey full of excuses.

Kwenye taarifa yako wametaja capacity?

Weka trips za Southern Corridor
 
🚮🚮🚮🚮 Drankard monkey full of excuses.

Kwenye taarifa yako wametaja capacity?

Weka trips za Southern Corridor
Kazi rahisi, mizigo yoote ambayo inapita bandari zote za Tanzania kwa ujumla hazifiki nusu ya mizigo yanayopitia Mombasa, sasa zitakuaje na uzito in tonnage kuliko za Notrthern corridor.., ujinga pia ni laana!..,
 
The best 007 ngoja interview ya hawa watanzania, najua radio zenu na TV stations zita wahoji, kisha make sure to post here, they traversed Nairobi.., pia na wao wata wahadithia na kuonyesha tofauti kati ya Nai na Dar is slum kama vile baba levo na mzungu..,
1663251662196.png

Ushuhuda wa Baba Levo..,

Ushuhuda wa mzungu aliye anzia matembezi Tanzania na Kampala..,
 
Kazi ipo..
M7 naamin yuko kidete.. Sa100 sasa

Hawa wazungu ni wajinga sana.. somen hii joint motion yao.
Samia na wazir wenu Makamba (aliepinga ujenzi wa Nyerere HPP) sidhan kama wataenda kinyume na matakwa ya hawa wazungu

sasa unafikiri solar panels zao nani atanunua kama mkiwa energy independent? Wao mpaka leo bado wana mixed energy sources ila sisi solar power ndo size yetu!
 
Moshi Cooperative University
Mwenge Catholic University
College of African Wildlife, Mweka
Kilimanjaro Christian Medical University College
Kilimanjaro School of Pharmacy
stefano moshi memorial university college

Plse Mention universities za Kisumu
Are these universities ama Secondary Schools?
 
Back
Top Bottom