Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Where do these fools get the energy to compare Dar is slum with Nairobi ?
FcHraubXEAMeKjO.jpg
 
Kazi rahisi, mizigo yoote ambayo inapita bandari zote za Tanzania kwa ujumla hazifiki nusu ya mizigo yanayopitia Mombasa, sasa zitakuaje na uzito in tonnage kuliko za Notrthern corridor.., ujinga pia ni laana!..,
Kwani mizigo yote ya Kenya inapita Northern Corridor?

Wacha porojo weka hapa trips,mlikwepa kwa sababu mlijua mumekalia ukuni wa mwanaume..

Zaidi ya nusu ya Mizogo ya Mombasa port inaishia ndani ya Kenya ni obvious kwamba hizo trip 700 Ndio inaenda Nchi jirani sasa Kwa Tanzania 70% ya Mizigo inaenda Nje tena Southern Corridor..

Wacha maneno wewe mbususu ya kibera weka hapa no.of trips.
 
Do you have anything else to say?

Screenshot_20220915-175611.png
 
Tatizo mda wa kuanza kutenda,
Serikali inachelewesha sana mambo
Vitu vingi vinachelewa sana kuanza. Mipango isipotekelezwa na kukaa muda mrefu pending inapelekea mianya ya upigaji mwishowe inakufa kabisa pasipo kutekelezeka.
 
Kazi ipo..
M7 naamin yuko kidete.. Sa100 sasa

Hawa wazungu ni wajinga sana.. somen hii joint motion yao.
Samia na wazir wenu Makamba (aliepinga ujenzi wa Nyerere HPP) sidhan kama wataenda kinyume na matakwa ya hawa wazungu
Aisee! Wameanza tena kuna nini huko
 
Itakua moja ya barabara bora sana ukanda huu hasa Japan wenyewe wakijenga ila tatizo la Japan wanajenga taratibu sana

View attachment 2357778
Hadi 2027 ...ila ni kipande kirefu kutoka Tengeru hadi holili ni parefu...ukizingatia kuna nyumba lazima zivunjwe zilizojengwa ndani ya hufadhi ya barabara...ila patanoga sana man I can't wait to hit the road
 
Kazi ipo..
M7 naamin yuko kidete.. Sa100 sasa

Hawa wazungu ni wajinga sana.. somen hii joint motion yao.
Samia na wazir wenu Makamba (aliepinga ujenzi wa Nyerere HPP) sidhan kama wataenda kinyume na matakwa ya hawa wazungu

Huu mradi bora wangepewa wachina tuu wamalizee mchezo hawa wazungu wanatuyumbishaa sanaa
 
Back
Top Bottom