dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
cbd kisumu kwa ubora wakePost Kisumu village center tuone 🤣🤣🤣🤣
cbd kisumu kwa ubora wakePost Kisumu village center tuone 🤣🤣🤣🤣
nakufa mimi mkenya nkiona izo zipo TZ nilidhani apo ni CANADAChuga 👇View attachment 2357259View attachment 2357261View attachment 2357267kibo palace villas 👇View attachment 2357268View attachment 2357269View attachment 2357270Arumeru logde View attachment 2357271View attachment 2357272View attachment 2357273karatu View attachment 2357276another oneView attachment 2357279View attachment 2357280💖View attachment 2357281View attachment 2357282View attachment 2357284.. yo Kenyans Teargas NairobiWalker. Msijiskie vibaya, this is for us all, developing Arusha means developing EA .. 🤣🤣![]()
Umerudi jf sababu ya kuitetea Kisumu 😂😂😂
utajua haujui 😆😆😆Umerudi jf sababu ya kuitetea Kisumu 😂😂😂
Itakua moja ya barabara bora sana ukanda huu hasa Japan wenyewe wakijenga ila tatizo la Japan wanajenga taratibu sanaHabari njema sana hii...nilikua Arusha juzikati kuanzia Pale Tengeru hadi mjini mambo mazuri sana...ila Tengeru rudi Usariver magari ni mengi Road nyembamba,afadhali kuna Arusha bypass sijui hali ingekuaje
hapana.. nimeweka kichwa tu😆Umerudi jf sababu ya kuitetea Kisumu 😂😂😂
Kwahyo tutaendelea kupiga cable stayed bridges mpaka huko Chuga.? 🤣🤣 Sisi ni nomaItakua moja ya barabara bora sana ukanda huu hasa Japan wenyewe wakijenga ila tatizo la Japan wanajenga taratibu sana
View attachment 2357778
🤣🤣🤣 Kisumu inahitaji investment sana hakuna kitu kabisa, gorofa zinazoeleweka angalau hazizidi saba 🤣🤣🤣 the rest ni ushuzi mtupu
Ni mwendo wa cable Bridge 🌉 tuKwahyo tutaendelea kupiga cable stayed bridges mpaka huko Chuga.? 🤣🤣 Sisi ni noma
Ni mwendo wa cable Bridge 🌉 tu
Muonekano wa Dar is slum kila sehemu😛😛😝😝😂😂😂., yaani haufananishi na Kisumu.., sura ya ufukara na eti hapa sio slums ni makazi ya raiya wa kawaida, "Eastlands ya Arusha"..,
Sama boy 255 pitia hii clip ya Arusha pole pole.., umechukua angles za Kisumu ujifurahishe, kuja ground Arusha, balaa
Kisumu City..,
View attachment 2357561
Kisumu "Eastlands".., iko na gorofa mingi kuliko Mwanza and Arusha combined...,
View attachment 2357566
View attachment 2357567
View attachment 2357568
hahaaaa wabongo tunapiga kazi mno wakandarasi wazawa ni asilimia kubwa na training ni ya kutosha na ya hali ya juu.... najua wakunyani awaamini coz uwa ata kulima awajui hahahaaaaaaa...
Wapo slow mpaka keroItakua moja ya barabara bora sana ukanda huu hasa Japan wenyewe wakijenga ila tatizo la Japan wanajenga taratibu sana
View attachment 2357778
Bado daraja jipya la jangwani litaanzia Magomeninilisha kuambia
ivi wakunyani wana bridge kweli
hahahaaa wacha ncheke mie kwanza ukisema ivo unatangaza maafa kwa majiraniBado daraja jipya la jangwani litaanzia Magomeni
Wewe c uliaga wewe ukasema hutoingia tena jamiiforums? Zilikuwa hasira za period nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umerudi jf sababu ya kuitetea Kisumu [emoji23][emoji23][emoji23]