Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wabongo wachache sana wanaopenda maendeleo ya taasisi wengi ukishampa kazi siku pili anaanza kuiba,nawapenda watu kama akina Tido Muhando,Nehemiah Mchechu wanaupendo na taasisi wanazoongoza unaona kabisa maendeleo.NHC ilianza kurudi ilikotoka lakini sasa unaona improvement kubwa.Vijana tujifunze kuchapa kaxi na kuendeleza taasisi
 
Ulivyo fala unaamini kabisa Kenya na Uganda zinaizidi Tz kwa km of tarmacked road, kweli kuwa mkenya ni laana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soja tangu lini Tanzania ikawa na more tarmacked roads kuliko Kenya?
 
Uhuru Park
20220912_215048.jpg

20220912_215031.jpg

20220912_215041.jpg
 
Ulivyo fala unaamini kabisa Kenya na Uganda zinaizidi Tz kwa km of tarmacked road, kweli kuwa mkenya ni laana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyinyi na ushamba wenyu mnadanganywa na serikali yenyu mnaamini tu nkt!
 
Back
Top Bottom