The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527





kujifariji pia inakubalika, ili mradi tu ufurahishe hisia zako.. zidi kujiconsole mtoto wetu..Kiuhalisia kama sisi tupo mil 64 nyie ilibidi muwe mil 32. Sasa ukichukua mil 54 ambayo ndiyo namba mliyoko (makadirio ya chini) ukitoa mil 32 unapata tofauti ya mil 22, kwa hesabu hizo ni kwamba mmetuzidi watu mil 22 na kiuhalisia hamko mil 54, kwa jinsi mnavyozaana mpo zaidi ya mil 60 ndio maana chakula hakiwatoshi licha ya misaada mnayopata pamoja na sisi kuwapa chakula cha bei nafuu sawa na bure![]()
Sasa kwn kuwa wengi ni dhambi? Kiukweli mpo wengi kuliko sisi na ndiyo maana ni ngumu kuzuia magonjwa ya mlipuko kama chorela, covid n.k pia hata chakula kinakuwa hakitoshi siku zote, ajira inakuwa hakuna ndio maana Wakenya wanazurura dunia nzima kutafuta unafuu wa maisha. Pia huduma za afya zinakuwa mbovu mana mpo wengi kuliko ilivyopasa muwe.kujifariji pia inakubalika, ili mradi tu ufurahishe nafsi yako.. zidi kujiconsole mtoto wetu..
Hii ni Tony Blair ndio kampa order afanye sababu ndio amemshikia akili 🚮🚮🚮
😅😅 utafikiri kageuzwa ndondocha na wazunguHuu ni upuuzi
🤣🤣🤣 Serikali yetu imesema wapi kama Tz nzima inajenga 1.5k houses annually 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 leta hiyo taarifa, maana naona unakunya tu.. nataka pia ulete hizo Taarifa in a tinny town like NAIROBI inayoonesha kwamba eti mnajenga 16k houses annually 🤣🤣🤣 unasahau kama DAR alone is Three times larger to NAIROBI na hilo eneo lote ni covered by houses hakuna misuti DAR mzee 🤣🤣🤣Kwani unajua kuliko serikali yenu?😂😂😂 Tanzania nzima mnajenga TU nyumba 1,500 kwa mwaka wakati Nairobi pekee inajenga nyumba 16,000.
Wazee wa kupika data kwenye ubora wenu 🤣🤣🤣 matokeo ya Sensa bongo bado hayajatangazwa, hiz exactly figure we umeokota wapi.? 🤣🤣🤣🤣🤣kulingana na censor ya hivi majuzi kule tanzania, kumbe tulikua sahihi. kweli idadi yao ilikua 64M, ilhali kenya ni 54M, na uganda 46M 🤔🤔
tanzaniaView attachment 2352005
kenyaView attachment 2352000
ugandaView attachment 2352004
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 I can assure you, achana na Tz nzima, hakuna mji hata mmoja kulingana na namba iwe mji 1,23.... ambao unawezana mguu kwa mguu na ukubwa wa miji ya Tz (Dar alone is Three times larger to NAIROBI) tena likija suala la kujenga nyumba mpya 🤣🤣 haujawahi jiuliza kwanini miji yetu Iko na population kubwa.? It's becoz of the number of houses.. na wala hatuishi kwenye mabati sisi kama huko kwenuKwani unajua kuliko serikali yenu?😂😂😂 Tanzania nzima mnajenga TU nyumba 1,500 kwa mwaka wakati Nairobi pekee inajenga nyumba 16,000.
Akili za watchman hizi😂😂😂. Your reasoning should be investigated.Kiuhalisia kama sisi tupo mil 64 nyie ilibidi muwe mil 32. Sasa ukichukua mil 54 ambayo ndiyo namba mliyoko (makadirio ya chini) ukitoa mil 32 unapata tofauti ya mil 22, kwa hesabu hizo ni kwamba mmetuzidi watu mil 22 na kiuhalisia hamko mil 54, kwa jinsi mnavyozaana mpo zaidi ya mil 60 ndio maana chakula hakiwatoshi licha ya misaada mnayopata pamoja na sisi kuwapa chakula cha bei nafuu sawa na bure![]()