Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I see your optimism with that Ruto guy is far beyond. (It May end in tears )
Am not optimistic at all, my fingers are just crossed, maybe ungesema na "hope" but not optimistic at all!, his manifesto iko vague.., his ideology ya "bottom up economic model" has never worked anywhere, in fact it has ever failed wherever it was tried..,
 
Za Tanzania ndizo za kitambo eti, na za Nairobi ni za 2022?😂😂😂😂, kapimwe mkojo, niko tayari na google earth, sema ng'we niende pole pole, mtaa baada ya mtaa bila haraka, well zoomed, dunia ijue Dar is slum ya 2022 ilivyo😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Oyaaa punguza hasira nimekuambia wewe huijui Dar unategemea random pictures kama hii hapa ulio post! Usi force tufanane🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20220908-172912_Chrome.jpg
 
Za Tanzania ni blocks za Nairobi ni mud huts na shacks, 21st century mnaishi kwenye nyumba za tope CBD, Nairobi na Mombasa ndio miji duniani inaongoza kwa nyumba za tope aibu 😂😂😂😂😂

View attachment 2350131View attachment 2350132View attachment 2350134View attachment 2350135View attachment 2350136View attachment 2350137View attachment 2350138View attachment 2350139View attachment 2350140View attachment 2350141View attachment 2350142
Mwamba Ana uchungu sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Oyaaa punguza hasira nimekuambia wewe huijui Dar unategemea random pictures kama hii hapa ulio post! Usi force tufanane🤣🤣🤣🤣View attachment 2350345
Ujinga awache kilaza, ukiona hapa 👇 ni South Africa? hii picha ni ya Tanzania idiot, imetumika kwa hiyo report for illustrative purposes, ama na hilo haujui? ficha your ignorance wakati mwingine😂😂😂😂😂😂😂😂😂
1662648073731.png
 
Oyaaa punguza hasira nimekuambia wewe huijui Dar unategemea random pictures kama hii hapa ulio post! Usi force tufanane🤣🤣🤣🤣View attachment 2350345
Jivunie nyumbani hautapigwa bana😂😂😂😂😂😂😂 inasemekana mvua ikinyesha kubwa ni balaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
1662648467729.png

Soma hapa👆👆kilaza, unatamani sana ikue ni ndoto, ila najua unajua hii sehemu😂😂😂😂😂😂

1662648520815.png

1662648620920.png

Ila mnajaribu kudhibiti maji kwa kuweka mitaro kando ya nyumba zenu., 😂😂😂😂😂😂😂
1662648606673.png
 
Mje dar kujifunza usafi yaani jana usiku nilipita kariakoo mtaa wa kipata na Livingstone nimekutana na ile gari inasafisha mchanga kwenye rami . Ilikua around saa tano usiku . Jamaa wanafanya usafi kwa mid night ndio maana dar kubakia kua clean
Jamaa wachafu hawataki kukubali!yaani cbd taka maeneo mengi mpaka kero!
Screenshot_20220908-173837_Gallery.jpg
Screenshot_20220908-174044_Gallery.jpg
Screenshot_20220908-173928_Gallery.jpg
 
Ujinga awache kilaza, ukiona hapa 👇 ni South Africa? hii picha ni ya Tanzania idiot, imetumika kwa hiyo report for illustrative purposes, ama na hilo haujui? ficha your ignorance wakati mwingine😂😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2350348

Nimeipenda hiyo picha, unaweza kuniambia ni sehemu gani hiyo Tanzania? Nimeupenda huo Mto sijawahi kuona mto wa hivyo Tanzania, kwangu pamenivutia sana, na huo Mto unatiririka maji siku zote hivyo au ni kipindi cha mvua hiyo picha ilipigwa? Mto umejipanga poa sana!
 
Nimeipenda hiyo picha, unaweza kuniambia ni sehemu gani hiyo Tanzania? Nimeupenda huo Mto sijawahi kuona mto wa hivyo Tanzania, kwangu pamenivutia sana, na huo Mto unatiririka maji siku zote hivyo au ni kipindi cha mvua?
Wakati wa mafuriko.., love your country, kuna siku itajengeka., mkibadili fikra zenu na muwache wivu.,
1662649300858.png
 
ze don kwa kweli nina kukubali wewe ni fighter 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣umeshaambiwa huijui Dar ila una kinga'nganizi sijui ni cha ukoo au🤣🤣🤣😋😋🤣
Ukweli ndio hampendi, lazima niwasukumie kooni zenu mmeze kwa lazima.., kuwa na jioni njema, haya basi nimewacha uchokozi, kuanzia sasa nitakua mpole, nisamehe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂., wacha niende zangu upumue., adios amigo.
 
Back
Top Bottom