Malobabrian
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 254
- 298
Mbona unaforce mambo ya kunyaland yawe Tanzania aisee
Huoni hii ni home kabisa
View attachment 2350274View attachment 2350275


Mbona unaforce mambo ya kunyaland yawe Tanzania aisee
Huoni hii ni home kabisa
View attachment 2350274View attachment 2350275


WAKENYA MNAKULA MAINDI TYU AKUNA VYAKULA VINGINE.. USIKOROMEE WATU WANAO KULISHA UTAKUFA... SUPER POWER UKU njaa
Yaani picha ni mbovu, nikizivuta kwa karibu pako sawa, huwezi linganisha na huu uchafu bana.., kwakweli nyie ufukara ni jina la kati na la mwisho.., haufichiki!!.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Alafu ni mamilioni ya haya nyumba kwa jiji lote, mko hovyo sana kwa wingi na upana, wacha tubaki na slums zetu in secluded places, hizi zenyu hazina mpaka, zimemwagika jiji nzima😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Mzee point ni kwamba hizo ni block house sio tope na shacks kama zenu, mbona wewe kichwa ngumu kama mawe 😂😂😂😂
Juzi tu wakifanya sensa yaoHuyu wa censor ni mkenya eti? haya madera ni ya Tanzania bana..,
View attachment 2350285
View attachment 2350286

subiri upewe sembe we mtoto sawaWenzio wanakubali huku nyie nani kukataaView attachment 2350313
sensa yetu aikuhusu au tukupe kishkwambiJuzi tu wakifanya sensa yao![]()
Wee mtoto ni wewesubiri upewe sembe we mtoto sawa
Siitaji ila ntaka niwape vitongoji vyenu vilivyo chwarasensa yetu aikuhusu au tukupe kishkwambi
Alafu watakuambia hiyo sio slum 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 , CCM ilaaniwe kabisa! umewadanganya watanzania eti wako vizuri, kwao hakuna slums, ni nyumba tu hazina mpangilio, lakini ukiziangalia kwa ground balaa!1 Dar is slum dwellers are the definition of poverty in a big way! kama raiya wa kawaida ndio wanaishi hizi standards hovyo zilizo tapakaa kote kote😂😂😂😂😂Juzi tu wakifanya sensa yao![]()
farm produce tu ndio mnauza kwa wingi, not reliable in the long run.., Ruto might end that for u, poleni.