chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Dodoma is rapidly giving Nairobi hard time
Anahangaika kubalance kitu kisichokuepo 😀Duuuuh ze don mbona za zamani hizo? Omba usaidiwe na vitu latest usikae kishamba shamba🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio umeona ni za zamani eti? zile za Nairobi je? ukweli mchungu, najua hamtaki, ila google earth itadhibitisha Dar iko hivi 👇 👇kwa upana na urefu, hizi sio zamani ndio muonekano taifa lote kwa sasa na inaongezeka kila mwaka..,Duuuuh ze don mbona za zamani hizo? Omba usaidiwe na vitu latest usikae kishamba shamba🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kipi kisichokuepo hapa👇 kilaza? Nionyeshe kama kuna mabadiliko hizi sehemu leo hii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ukweli ni adui ya mtanzania😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ukubwa wa jiji ni ufukara.., mazuri yamezungukwa na ushuzi 😂 😂 😂 😂 😂 😂Anahangaika kubalance kitu kisichokuepo 😀
Acha nikupe full view 🙄🙄🙄🙄🙄View attachment 2349986View attachment 2349990
Ni midomo mirefu tu na propaganda, yaani wanajaribu kujikweza lakini facts zinawaumbua😂😂😂😂😂😂😂😂..,
Za Tanzania ndizo za kitambo eti, na za Nairobi ni za 2022?😂😂😂😂, kapimwe mkojo, niko tayari na google earth, sema ng'we niende pole pole, mtaa baada ya mtaa bila haraka, well zoomed, dunia ijue Dar is slum ya 2022 ilivyo😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Duuuuh ze don mbona za zamani hizo? Omba usaidiwe na vitu latest usikae kishamba shamba🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ni Dar ya wapi? 😂😂😂😂Kipi kisichokuepo hapa👇 kilaza? Nionyeshe kama kuna mabadiliko hizi sehemu leo hii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ukweli ni adui ya mtanzania😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ukubwa wa jiji ni ufukara.., mazuri yamezungukwa na ushuzi 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2350082
View attachment 2350086
View attachment 2350077
View attachment 2350080
View attachment 2350085
View attachment 2350084
View attachment 2350091
Za Tanzania ni blocks za Nairobi ni mud huts na shacks, 21st century mnaishi kwenye nyumba za tope CBD, Nairobi na Mombasa ndio miji duniani inaongoza kwa nyumba za tope aibu 😂😂😂😂😂Za Tanzania ndizo za kitambo eti, na za Nairobi ni za 2022?😂😂😂😂, kapimwe mkojo, niko tayari na google earth, sema ng'we niende pole pole, mtaa baada ya mtaa bila haraka, well zoomed, dunia ijue Dar is slum ya 2022 ilivyo😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Nioneshe kitu kama hiki Dar 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni midomo mirefu tu na propaganda, yaani wanajaribu kujikweza lakini facts zinawaumbua😂😂😂😂😂😂😂😂..,
Mje dar kujifunza usafi yaani jana usiku nilipita kariakoo mtaa wa kipata na Livingstone nimekutana na ile gari inasafisha mchanga kwenye rami . Ilikua around saa tano usiku . Jamaa wanafanya usafi kwa mid night ndio maana dar kubakia kua cleanMkuu kama upande mmoja wa kuingia CBd unakutana na hii hali!View attachment 2349692View attachment 2349703
Eti za block alafu ni Dar 80% muonekano moja tu., afadhali za tope chache, google earth itaonyesha ni kasehemu, ila Dar!!.., alafu haujajibu swali umekwepa, hapa 👇 👇 palibadilika? ama mliondoa huu ushuzi mmejenga apartments na standard houses na vyoo vya ndani? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Za Tanzania ni blocks za Nairobi ni mud huts na shacks, 21st century mnaishi kwenye nyumba za tope CBD, Nairobi na Mombasa ndio miji duniani inaongoza kwa nyumba za tope aibu 😂😂😂😂😂
View attachment 2350131View attachment 2350132View attachment 2350134View attachment 2350135View attachment 2350136View attachment 2350137View attachment 2350138View attachment 2350139View attachment 2350140View attachment 2350141View attachment 2350142
Dar 80% ni ushuzi, hiyo ni kidogo sana ukilinganisha.., mazuri hamuna ya kulinganisha, so unakimbilia mabaya kujiliwaza, ila ukweli unabakia pale pale.., hapa ndio mko karne hii, jiji karibia lote, ukiondoa visehemu vichache city centre, kwa vile town yenu pia ni hovyo 😂 😂 😂 😂 😂 😂
🤔🤔🤔 yaani ata sijui mtu kama The best 007 ama Geza Ulole akiona vitu kama hizi.. sijui nnn hasa hua ina ring akilini mwao🤔🤔🤔

