Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti za block alafu ni Dar 80% muonekano moja tu., afadhali za tope chache, google earth itaonyesha ni kasehemu, ila Dar!!.., alafu haujajibu swali umekwepa, hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ palibadilika? ama mliondoa huu ushuzi mmejenga apartments na standard houses na vyoo vya ndani? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
View attachment 2350155
View attachment 2350160
View attachment 2350158
View attachment 2350159
View attachment 2350161
View attachment 2350162
View attachment 2350163
View attachment 2350165
View attachment 2350166
View attachment 2350167
Dar 80% ni ushuzi, hiyo ni kidogo sana ukilinganisha.., mazuri hamuna ya kulinganisha, so unakimbilia mabaya kujiliwaza, ila ukweli unabakia pale pale.., hapa ndio mko karne hii, jiji karibia lote, ukiondoa visehemu vichache city centre, kwa vile town yenu pia ni hovyo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
View attachment 2350169
View attachment 2350170
View attachment 2350171
View attachment 2350172
View attachment 2350173
View attachment 2350177
Kwahiyo tumekubaliana Dar hakuna nyumba za tope wala bati kama Nairobi, Mombasa na mashoga zake eti? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimekupa week nzima unitafutie nyumba za aina hiyo Dar lakini umekosa kabisa kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa Nairobi na Mombasa zinabaki kuwa miji yenye nyumba nyingi za tope kuwahi kuwako duniani, ni aibu kubwa kwa EA, mnatutia aibu na ufukara wenu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mbona unaforce mambo ya kunyaland yawe Tanzania aisee

Huoni hii ni home kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

kiruli-image-final-mary_ndira_sist_outside_their_house_next_to_a_drainage_in_kibera_slums_on_m...jpg
Screenshot_20220908-163214.png
 
Kwahiyo tumekubaliana Dar hakuna nyumba za tope wala bati kama Nairobi, Mombasa na mashoga zake eti? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nimekupa week nzima unitafutie nyumba za aina hiyo Dar lakini umekosa kabisa kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa Nairobi na Mombasa zinabaki kuwa miji yenye nyumba nyingi za tope kuwahi kuwako duniani, ni aibu kubwa kwa EA, mnatutia aibu na ufukara wenu
Mimi nataka u post wide angle view, yenye ina cover Nairobi sehemu kubwa kama satellite images tulinganishe kiwango ya hizo nyumba na yale standard kwa jiji lote tuone kama itafanana kama Dar ilivyo chakavu.., just do that please dunia ione mbivu na mbinchi, ulianzisha mwenyewe baada ya kuumizwa na Mombasa kisa jibu hauna, so maliza mchezo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mbona zipo za kumwaga tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Screenshot_20220715-062428_1.jpg
Screenshot_20220715-062442_1.jpg
Screenshot_20220715-062503_1.jpg
Screenshot_20220715-062558_1.jpg
Screenshot_20220715-062653_1.jpg
Screenshot_20220715-062731_1.jpg
 
IYO NI TAKATAKA LAND FYI FYI
Nairobi ni takataka mkuu, wanapost viji estates uchwara wanamoishi chini ya 5% ya wanaipori wanajisahaulisha uhalisia wa uharo uliowazunguka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
WAKENYA MNAKULA MAINDI TYU AKUNA VYAKULA VINGINE.. USIKOROMEE WATU WANAO KULISHA UTAKUFA... SUPER POWER UKU njaa

Hii habari natheni wakunyani awaoni cjui au ndio masuala ya uoni hafifu
 
Back
Top Bottom