Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Underway kitu gani yet umepost complete project? Umeanza excuse after kushikwa makende?
Hata hizo nyaya za umeme unazoziona kwenye nguzo, mji ukimaliza ujenzi wake zote hizo zitapitishwa chini mana miundombinu yake tayari imeshatengenezwa underground ..so Dom utakua ni mji pekee EA ambao nguzo za umeme hazitaonekana anywhere
 
Kwani Tatu na Konza City zitakuwa miji ya binguni?
 
Hata hizo nyaya za umeme unazoziona kwenye nguzo, mji ukimaliza ujenzi wake zote hizo zitapitishwa chini mana miundombinu yake tayari imeshatengenezwa underground ..so Dom utakua ni mji pekee EA ambao nguzo za umeme hazitaonekana anywhere
Itapendeza sana nyaya zinafanya mandhari ya mji uonekane mchafu.
 
google earth iko, ingia pole pole uchambue Kenya.., sisi sio wehu na waongo waongo kama nyie..., tunawajua, jipende na ufukara wenu bana, tukome [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuko.co.ke si ya kenya?

Slum capital of east Africa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Huu mji unakua kwa kasi ssna,mbali na hsyo majengo ya serikali nje ya mji kunaenda vizuri sana...Nna uhakika most of these projects will be completed before 2025
Yeah sure, hata hayo majengo yenyewe mikataba yake inaisha mwakani, kwahyo mpaka ifike 2025 hata Msalato international airport itakua tayari imeshakamilika
 
Hii hii Mombasa yenye nyumba nyingi za udongo kuliko mji wowote East and Central Africa au kuna Mombasa nyingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ukiingalia hii video utaidharau Mombasa kichizi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…