Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Corona na vita vya Russia na ukraine vimesababisha gharama ya manunuzi ya vitu kuwa juu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]
 
Ukiona mawaziri wanajitokeza kutetea tozo, bila shara wameambiwa na mama wajitokeze hadharan kutetea uwepo wa tozo.. hii tozo moja kwa moja lawama inamuhusu mama na wala si mwigulu tu. Hizi tozo zinawaumiza wananchi wa chin, yan hata kidogo walichonacho bado mnataka kuwapunjia
Ila kuna vitu mama anafanya unajiuliza hiv ana nia ya kugombea uchaguzi ujao au vip..mana vinamuondolea kukubalika kwa watu
 
Duh
 
Duuuuh! Tozo inapunguza gap baina ya aliye nacho na asiye nacho[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]

F*********ck Tz government
 
Akulinde Molah.! Akulinde Tanzania yetu 👇 . Wimbo mzuri sana wa kizalando, Tanzania imejaaliwa tunu ya vipaji vya kuimba Don YF pitia hapa uone vile tunaipenda nchi yetu na tunatumia vipaji vyetu kuitukuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…