Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,878
- 103,739
Mimi ninawashangaa Sana watanzania wanapowaruhusu wakenya kuwaingiza katika "battle" zisizokua na maana yoyote katika uchumi wa nchi, hasa raia wa kawaida, hivi "Malls" Zina umuhimu gani katika maisha ya raia wa kawaida?.Kwani malls ni viwanda?v2 vingine havina hata impact ya mana kwann vituumize kichwa
And this is the second biggest Mall in Dar currentlyView attachment 2336505View attachment 2336506View attachment 2336507View attachment 2336510oya wewe NairobiWalker. Pitia hapa



"Managed by a kunyan" ukimwambia alete evidence hakuna!![]()



Amtaje vizuri kesho nimpe evidence .Si sekta ambayo wana comperative advantage! Lakini wanasahau our many markets r their malls!Mimi ninawashangaa Sana watanzania wanapowaruhusu wakenya kuwaingiza katika "battle" zisizokua na maana yoyote katika uchumi wa nchi, hasa raia wa kawaida, hivi "Malls" Zina umuhimu gani katika maisha ya raia wa kawaida?.
Kuna Mambo ya maana ya kulinganisha yenye impact kubwa kwa watu wengi Kama masoko, usambazaji wa maji vijijini na mijini, kilimo na uvuvi, Mambo ambayo yanajibu shida za raia wa Kenya na Tanzania walio wengi, huko wakenya hawataki kabisa kuzungumzia, wameshikilia Malls ambazo 95% zipo katika majiji makuu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama mamtoni mwanangu



















Evidence huwa wanatengeneza wenyewe ukimuomba evidence anatengeneza anakupa, wajinga sana hawa wehu."Managed by a kunyan" ukimwambia alete evidence hakuna!![]()