Youtuber huyo...Analipwa hela nyingi sana YouTube...Huyu jamaa anafanya kazi gan.. mbona anazurura sana[emoji28]
Sasa hiyo brt ya kenya si watu watakuwa wanaovertakia...and hence ajali za mara kwa mara..Tujikumbushe
View attachment 2335703
Ni kweli kabisa,ila kwa hizo sehemu nilizotaja watu wakitia pesa kuna fursa sana maana kupo pembezoni na kipato hakipo vibayaUtaratibu tuliojiwekea kila baada ya nyumba nne kuna duka lenye mahitaji karibu yote na genge pembeni....kila baada ya nyumba 5 kuna mgahawa mzuri, pub maduka ya nguo nk inafanya uwekezaji wa malls usiwe kipaumbele...
Ingekua makazi ya watu ni nyumba tu basi malls zingekua nyingi sana
Nairobi ni pachafu sana...imagine hio ni uptown Nairobi wanaposifia kila siku...Ugliest and dirtiest city in the world so far!
Angalia hizo mud buildings around CBD, kunyans mbona ghorofa zenu kama mud huts? Hazina rangi hazina style!
Cheki mji wao ulivyo mbaya...kama mogadishu vile...Noma sana [emoji2961][emoji2961][emoji2961] Hawa wapewe TUZO.
Ukiondoa filter mji Nairobi haivutii hata kidogo...Kampala has more malls that entire Tanzania.
Kunywa juice ya ukwaju baridi na miwa kwa bill yako, naona ulcers zimepanda π π π π π Walker255 gave an objective suggestion, a positive mind, wewe na uchawi yako unakurupuka., usizoe kupingana na ukweli mjukuu, utaendelea kuumia tu hadi basiππππππππHuwa unajisikia raha ukiona mtu kaizungumzia vby Dar, eti hapo umenena...., it happened to some streets in ka Nairobi, yn in ka Nairobi ni some streets but in Dar umependa kusikia jamaa akisema all, upumbavu huo.
Ni mitaani kulee part of Eastlands., sio town.., ngojeni miaka 25 mbele kisha mje tuongeeCheki mji wao ulivyo mbaya...kama mogadishu vile...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Pole sikua nimeona hii clip ya 2022 vizuri.., hapa sio Dar, ni Afghanistan, just relax bro, ni weekend π π πHuwa unajisikia raha ukiona mtu kaizungumzia vby Dar, eti hapo umenena...., it happened to some streets in ka Nairobi, yn in ka Nairobi ni some streets but in Dar umependa kusikia jamaa akisema all, upumbavu huo.
Okay, wachana na Kampala, what about Nairobi?.., π π π π π π π πMalls za kampala ni retail stores zilizojengwa kwenye viwanja vikubwa, otherwise in kampala hakuna mall hata moja yenye inawezana na na Malls kubwa za DSM
Afghanistan Town vs an Estate in Nairobi..,ππππππ 2022Cheki mji wao ulivyo mbaya...kama mogadishu vile...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ni nyuma ya Egypt tu na Morocco.Hii ndio ligi bora Afrika ukiondoa ligi ya SA, Egypt na Tunisia.
"Honesty is good for business"., (a quote from a certain crime movie)Arusha haiwezi kua bora kuliko Kampala kwann tunapenda kujiaminisha vitu havipo
Wakunya hamjawaelewa, at least joto la jiwe anawaelewa vzr sn, wako hivi, wakiona battle inawaelemea huwa wanaanza kuipotezea battle kwa kuingiza vitu ambavyo havihusiani, mfano atatafuta nchi ambayo ni inferior zaidi alinganishe na yenu alafu wewe ukiingia kichwa kichwa anakutoa kwenye mchezo mana hapo hata kisaikolojia utaona ikiwa Dar inazidiwa na Kampala vipi ka Nairobi, hapo tayari anakuwa ameshinda wakati uhalisia hauko hivyo.Malls za kampala ni retail stores zilizojengwa kwenye viwanja vikubwa, otherwise in kampala hakuna mall hata moja yenye inawezana na na Malls kubwa za DSM
Taja county yoyote Kenya niatakuonesha Slums na mauchafu kuizunguka, Slums na mauchafu Kenya yapo mpk ikulu.Ni mitaani kulee part of Eastlands., sio town.., ngojeni miaka 25 mbele kisha mje tuongee
Heheheheee umeangalia video lkn? Au huna bandle [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole sikua nimeona hii clip ya 2022 vizuri.., hapa sio Dar, ni Afghanistan, just relax bro, ni weekend [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeona Afghanistan sio Dar..,Heheheheee umeangalia video lkn? Au huna bandle [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]