Spenzia
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 497
- 211
Nakuomba utume picha kama hiyo ya makaazi yenu tuone angalau sehemu kidogo tutena yao hayajakaa kimpangilio kabisa
Nakuomba utume picha kama hiyo ya makaazi yenu tuone angalau sehemu kidogo tutena yao hayajakaa kimpangilio kabisa
aisee mrembo una mashairi na ngonjera nzuri sana nimekupenda sana![]()
![]()
![]()
okay poadont bother my brother...just do ur thing...stop quoting them...the fact remains...no city beats Nairobi here....
tz kwenye upigaji picha sio siri hatuna mtindo wakupiga picha kabisa.....ila maeneo ya makazi ambayo yapo kwenye mpangilio mzuri yapo mengi sana tatizo picha za aerial view hatuna....ndiyo maana nimekutumia video kidogo upate hata picha nasikitika sana wakenya kama nyie kuona hamuijui dar kabisa.....dar inamakazi mazuri zaidi ya hayo unayoyaobyesha kutoka nairobi......huku sisi tuna double yaani tuna estate kama zenu tena zetu zinamuonekano mzuri na vile vile tuna houses ambazo raia hujenga style ya nyumba aipendayoNakuomba utume picha kama hiyo ya makaazi yenu tuone angalau sehemu kidogo tu
Naona mmeamua kutuwekea maloli
kweli.....kabisa ila poleee sana nishawahi fika huko no new..Nahisi unatamani sana Kenya lakini fukara hohahahe huna jinsi ya kufika huku ,ila Mimi najitolea kugharamia nauli makaazi na chochote kile utakacho hitaji .ukiwa tayari niarifu wakati wowote nitakupokea .Ila uwe na siku njema BIBI ,na uheshimu kakazo walio na uwezo kukushinda.
hapajanivutia labda nije kutafuta demu wakisomal next timeaisee jengeni sana yani bado sana 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
no new nairobi.......zaidi ya nyumba chakavu zenye sura mbaya kama yakodont bother my brother...just do ur thing...stop quoting them...the fact remains...no city beats Nairobi here....

yaan hawa wakenya waache wajidanganye tu........apartments in kawe bongo
![]()
😀😀😀😀😀😀 Bora umesema , mtu atachukuaje picha ya eneo asilolijua na kulipa jina anlotaka yeye, hii inamaanisha nini LOL ni sawa na mimi nichukue picha ya kibera niseme UPPER HILL.Hapo ni jangwani acha ubibi