Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Its like 1000 shots ndio upate Nairobi CBD (The 2 Old concrete tower CBD) what is there in your Old CBD?

c-fakepath-tour-nairobi-experience-01-lead.jpg
woooooiii i cant blv this, hahahaha leo umewashika kwenye korodani hawa viumbe wazito, hahahaaaa, nmecheka sana, MDC hao kwenye ubora wao, halafu ghorofa wanaezeka na bati, hahahaaa, poor kenyan, hii picha ilikua wap siku zote??? basi hapo watajisfu wana estates, yan kwao kota na maghorofa ni kitu cha ajabu sana, kwel ushamba mzigo, wakat huku kwetu ujanja ni kukaa kwenye nyumba yako upate na kagarden kwa nje upande maua ulime na mboga mboga.

hata kwa nchi zilizoendelea huez kuta mtu na pesa ake anakaa nyumba za kota au karent apartment, but kwa wenzetu wakenya kuishi kwenye hivyo vihostel ni development, hahahahaaaaaaaa
 
baadhi ya maeneo ya dar nyie washamba wakikenya mnaoichukulia dar......poa endeleeni na ushamba wenu waliofika hukh wanausoma mchezo jinsi ilivyo na mabalaa
 
Then show me something like that far away from ur one and only CBD,15km away from CBD
dont bother my brother...just do ur thing...stop quoting them...the fact remains...no city beats Nairobi here....
 
Nairobi_South.jpg

Haya matundu ya njiwa yapo kibao kule Kigamboni waTZ hawayataki. Hivi vitu vinaendana na utamaduni wa watu. waTZ wanataka kujenga nyumba zao wenyewe na si kuishi mabwenini. Wenzetu huko KE ndio mnaona maendeleo!
tena yao hayajakaa kimpangilio kabisa
 
woooooiii i cant blv this, hahahaha leo umewashika kwenye korodani hawa viumbe wazito, hahahaaaa, nmecheka sana, MDC hao kwenye ubora wao, halafu ghorofa wanaezeka na bati, hahahaaa, poor kenyan, hii picha ilikua wap siku zote??? basi hapo watajisfu wana estates, yan kwao kota na maghorofa ni kitu cha ajabu sana, kwel ushamba mzigo, wakat huku kwetu ujanja ni kukaa kwenye nyumba yako upate na kagarden kwa nje upande maua ulime na mboga mboga.

hata kwa nchi zilizoendelea huez kuta mtu na pesa ake anakaa nyumba za kota au karent apartment, but kwa wenzetu wakenya kuishi kwenye hivyo vihostel ni development, hahahahaaaaaaaa
sasa utalima wapi? Masenze au kinondoni
 
Back
Top Bottom