Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

msisitizo/emphasize :
ujumbe kwa wale ma-jobless na wakora wa nairobi:

nimewachapa bakora nyingi sana za kushtukiza kuanzia page ya 4039 - 4040.

kwa anayetaka kuamsha maumivu,apitie hizo page.

NB:
leo tupo busy site,tunajenga nyumba zetu binafsi za kuishi....hatutaki porojo wala makelele.

msisahau kuleta picha za mafundi wanaojenga pinnacle tower...tuone vile "wanakuwanga" wakiwa site.
 
wale "wasee" wanaotoka katika ile nchi inayokumbwa na uhaba wa sembe,wakiona hii picha lazima watakasirika.

anyway....nilikuwa shambani kwangu leo,nimevuna kiasi.
1c1d898b0b80108baedaa7ef76aaa09e.jpg
 
Fellow Kenyans mmeleta ufisi huku....hahaha. people be like "babe kuna wakora wengi sahii uwezi pita hiyo njia unaweza tumia bed yangu"


Hahahaha,El Matador,utaacha za ovyo huyo boy me namchocha ,kwanza me sio team mafisi kuna dish mob tu yani hapa home ,,kwanza ye ni chali nikumchocha tu brather .
 
construction of private houses in dar es salaam:

dar es salaam is transforming
very fast.

apart from tall buildings,malls and apartments,new private houses are being built almost everyday while the older ones are renovated.

these transformations lead to the growth and sustainability of our construction sector.

NB:
we use cement bricks not stones like kenya (many houses in nairobi are built by stone bricks).

photos.
hapa kazi tu..tupo site "msee".
5f00e906bef2837512ea32e54cb570e7.jpg
4788eab4853533455b485946cae922d8.jpg
a6625fad307560515b5b361b0f88eb52.jpg
228b257429384746468840578177afa6.jpg
45f3b8ca29811da7d82834b52d82bccf.jpg
58382e931876d132ecca9d61e6904698.jpg
f1b815d1db22b23a1bfc8e5797deea05.jpg
341b5d45ef0be12a413a35ccfbbd0a5c.jpg
ad676693b28bdcc9dd59b3486c08533b.jpg
9710ea1c7806383be2f7adc73426bbdb.jpg
2ff4a41c79f67cb8a2d73e4449b3d440.jpg
 
Leo umemkubali naona
i have no problem with people who do good music...he killed it in this one....the track is ill,that's why i like it.

bado khaligraph sio mwanamuziki wa kutisha...ni ile black american accent ndio inambeba...itamchukua mda mrefu kufika level ya fid q.

sikiliza punchlines za fid then linganisha na khaligraph.

 
Back
Top Bottom