Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nangoja kuna mahali ambapo watu wa 3rd class wa Dar is slum huishi, kama umoja ya Nairobi
 
Nairobi
DJmujSNXUAIGEuL.jpg
DJilu6WWAAAQvbS.jpg
 
Nairobi_South.jpg


Haya matundu ya njiwa yapo kibao kule Kigamboni waTZ hawayataki. Hivi vitu vinaendana na utamaduni wa watu. waTZ wanataka kujenga nyumba zao wenyewe na si kuishi mabwenini. Wenzetu huko KE ndio mnaona maendeleo!
Ndio maana mji wenu haupendeze ata kidogo...kama mombasa tu....
sijui mbona coastal swahili cities zinafanana
 
Back
Top Bottom